Kwa hizi behewa mpya za treni, tuendelee kudai Katiba Mpya

Jul 6, 2022
71
71
Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta izi bewa na na lijua Aya yatatokea bewa zilizo wasili pale bandarin hakuna mtanzania aliependa hata za ubungo kwenda posta nzuri hivi mnatuchukulaje watz nyie sihitaji kueleza sana katiba Mpya inaitajika hii italinda sisi wananchi wenyewe ona wezentu South Africa rais kafanya madudu kashtakiwa Sio fea kabisa halafu huyu mkurugenzi wa TCR anakuambia treni za Dar to Kigoma hadi Zambia hivi Kweli Wakati mradi wa Kigoma hata Pesa hazijachangwa tunasubiri MSAADA Toka na Pesa za mikopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom