katiba

  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Katiba bila elimu ni kazi bure haitatusaidia

    Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema. Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania ambao hawapendi kusoma hawahitaji shahada (Miaka 3) kujua katiba

    Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya. Bunge la katiba liliundwa, maoni ya katiba mpya yalikusanywa kwa gharama kubwa na leo unataka...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Zitto mpigania haki ndie huyu anayefurahia kuuzwa bandari za Tanganyika,kukaa kimya juu ya Katiba Mpya na wanayofanyiwa Wamasai Ngorongoro!?

    Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

    WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA. "Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Leo naendelea na sehemu nyingine ya Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza nilifundisha katiba ni...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba kwa Jicho la Mtunga Katiba: Mtunga Katiba alimaanisha nini aliposema "Katiba ni Sheria Mama"? Ni kweli Katiba ni Sheria Mama?

    Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza ilitoka wiki iliyopita, Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola, waneibuka watu, mashirika, wanaharakati kupigia kelele kuna kesi ya uhaini, na hadi baadhi ya taasisi za...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wastaafu waweka ngumu Serikali kutoa Elimu ya Katiba kwa Miaka 3

    Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo. Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vwawa: Sugu aendelea kuwasha moto wa Katiba mpya Majukwaani

    Tofauti ya Chadema na vyama vingine vya kisiasa ni hii , Yaani huku Chadema mtu yeyote mwanachama akipewa kibali na chama chake anaweza kuitisha Mkutano wa hadhara na akajaza Umati. Kwa mfano, Mimi Erythrocyte naweza kutangaza usiku huu kwamba nitafanya Mkutano wa hadhara Kyela kesho , labda...
  10. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Je, kama hakuna Katiba Mpya wala Tume Huru kuna haja ya uchaguzi?

    Habari za humu ndani naamini ninyi ni wazima Mimi nauliza tu Maana kila moja anajua kitu gani kinakwenda kufanywa na ccm. Kwanini isianzishwe mikutano ya kudai mchakato wa katiba na tume ya Uchaguzi nchi nzima Maana mda umeisha sana mwakani ni Uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 uchaguzi...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la elimu Katiba Mpya, wazee waweka ngumu

  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kupigania Katiba Mpya ni kama kumkamua maziwa ng'ombe mwenye kichaa

    Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba miguu ili umkamue, na kuna ng'ombe lazima umfunge kamba ndipo umkamue, kwa kuwa anaweza kukupiga...
  13. Salahan

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu mabadiliko ya katiba kwenye ukomo wa Urais

    Habari wanajamii Kwa mujibu wa katiba yetu inayotumika hadi sasa ukomo wa kugombea nafasi ya urais ni miaka 10 kwa kila kiongozi ikiwa ni awamu mbili yaani uchaguzi wa raisi kila baada ya miaka mitano. Asili hii ya ukomo wa raisi imeasisiwa toka taifa la Marekani "....Utaratibu wa kuweka ukomo...
  14. MGUBA

    JamiiForums Tanzania MIMI SIDHANI KAMA KATIBA MPYAA ITAKUBALIWA TILL KIHAMA

    Kwa maono yangu kwa nchi kama TANZANIA ili kuluusu katiba mpyaa ni lazima iingie kwenye misingi ya dictator action na sio democracy kama hii ya sasa
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

    Wasalaam nyote, Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons. Msitarajie huruma haitatokea...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sugu aendelea Kutikisa Chunya, achambua Katiba kama Mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wananchi waanza kumuelewa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi. Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050 itakayofungamanishwa na falsafa ya 4R ya Rais Samia na Katiba mpya italeta MATOKEO MAKUBWA KESHO

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo itakayo fungamanishwa na falsafa za 4R za Rais Samia na katiba mpya, ni matokeo makubwa kesho

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi Cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
Back
Top Bottom