katiba

  1. W

    JamiiForums Tanzania Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila Mtanzania kulingana na katiba ya nchi

    Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni. Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri. Katika Katiba...
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

    Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari. Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake. Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano: HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao. HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi. Kauli ya wengi ni kauli Mungu. Aluta continua!
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

    Akijibu maswali katika mahojiano na Edwin Odemba katika Kipindi cha Medani za Siasa ikiwemo suala la kuwa makali yake kisiasa yamekwisha na madai kuwa yeye na Chama chake ni kama CCM B, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema: “(Kuhusu suala la usaliti) Waulize wao, hizo ni propaganda za...
  5. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

    Salaam wakuu. Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo; "Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake" Hali ni tofauti...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Elimu ya katiba kwa watanzania kipengele kwa kipengele, kuanzia ibara ya kwanza! (Darasa la wazi)

    Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu Taifa CWT mpo wapi? Zungumzeni watu wajue mbivu na mbichi

    BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI Na Thadei Ole Mushi. Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake, kukubali kubadili sheria ya uchaguzi, na kuunda Tume Huru ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za ukwamishaji wa katiba mpya wivu wa kikwete kwa Samia upo!

    Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu 1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Lengo la dhati la chadema si katiba, bali vifungu ndani yake vitakavyowasaidia kushinda

    This is fact and realitity! Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatoa uamuzi - Rais hakuvunja katiba kuongeza muda wa Jaji Prof. Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania

    22 September 2023 Masijala ya Mahakama Kuu Dar es Salaam Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake . Humphrey Simon Malenga alifungua kesi, ili Mahakama Kuu itafsiri kama rais alivunja katiba au la kwa muuongezea muda wa...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

    Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba. Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tumeishi miaka yote, tumechagua viongozi wetu, tumeshtakiana na hukumu kutolewa Kwa mujibu wa Katiba

    Najiuliza hivi wasomi wetu hawajui kama Kila siku tunaongozwa na katiba? Hivi wasomi wetu hawajui kama tunaiishi katiba tuliyonayo? Hivi Rais wetu hajui kama Tanzania anayoiongoza iko hivyo anavyoiona kutokana na uwajibikaji Kwa katiba wa Kila raia wa Tanzania? Iweje useme eti hawaijui? Iweje...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Idara ya Katiba kuwasaka wasiojisajili

    NA HAJI NASSOR, PEMBA MKURUGENZI wa Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar Hanifa Ramadhan Said, amesema msako mkali unakuja kuwabaini watu na taasisi, zinazofanyakazi za kutoa elimu, ushauri na msaada wa kisheria, pasi na kujisajili kama sheria inavyotaka. Alisema, Sheria ya namba 13...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama siasa ni maisha, basi katiba ni document ya kisiasa juu ya mgawanyo wa madaraka na utowaji haki

    Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko. Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
Back
Top Bottom