kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

    Hawa wataingia kwenye msuguano mkubwa sana. Huyu dogo Chasambi wa Mkia na Pacome wa Yanga. Hawa ni level moja kabisa, tuone tu Chasambi atakuwa na matches ngapi kuja lingana na Pacome.
  2. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jude Bellingham amepewa Kadi nyekundu na mchezo ulikuwa umekwisha malizika?

    Refareee Jesús Gil Manzano amemuonesha kadi nyekundu Mchezaji wa Real Madrid Jude Bellingham kwenye mechi iliyokuwa inachezwa kati ya Real Madrid na Valencia. Mzozo Huo ulitokea baada ya Refa kumaliza Mchezo wakati mpira Ulikuwa Hewani na baada ya mpira kutua ukatua Nyavuni na Refa kukataa Goli...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako?? Kwenye wateja namaaanisha Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
  4. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipi Kimekupendeza na zipi falsafa ulizopenda humo kati ya Mkapa na Mwinyi

  5. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya Ngumi za leo kati ya Kidunda na Msouth yanatia aibu, Kidunda kabebwa

    Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

    Habari za asibuhi wakuu, Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake? Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  8. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool na Chelsea Leo carabao cup mwamuzi wa kati simuelewi kabisa

    Huyu cancedo amecheza rafu ya ajabu harafu mwamuzi wa kati kaangalia tu!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

    wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya Nchi 4 za Afrika zitakazokuwa na Uchumi mkubwa Duniani ifikapo mwaka 2100

    #UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100. Ripoti hiyo imeonesha...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitahakikisha Ugomvi kati ya Baba yangu (Diamond) na Mama yangu (Zuchu) unaisha

    Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha. Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
  12. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

    Naomba kuuliza ajira za vyuo vya kati huwa wizara wanatoa mwezi gani kila mwaka.
  14. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

    Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
  15. John Gregory

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Bear Grylls na Ed Stafford nani Survivalist zaidi?

    Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa kipindi cha Ultimate Survival na Marooned with ed stafford Discovery family (channel namba 136 DSTV),Kwa mtazamo wako yupi ni Survivalist mkali zaidi. Wote wana historia ya kupitia jeshini (wanajeshi wastaafu huku bear grylls akiwa na medani ya heshima ya malkia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke lakini Mume na Mke hakuna usawa

    Salaam shalom!!! Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke, Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume. Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume...
  17. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Hivi vyuo vya kati kuna bata kama vyuo vikuu

    Tumezoea kusikia kwamba chuo ni bata sana kusoma kidogo na pia chuoni kuna warembo wengi( pisi kali ).sasa nilikuwa nauliza je hayo maneno yana ukweli na kama ni kweli je hali ipo hivyo hata katika vyuo vya kati au ni vyuo vikuu tu like UDOM,udsm etc...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wainuka kati ya Wananchi na TANROAD Njombe

    Kumekuwa na msuguano mkali kati ya wananchi wa Kitulila na Uongozi wa wakala wa Barabara mkoa wa Njombe. Wananchi wanapinga kusudio la Tanroad kuchepusha Barabara ya Njombe Ludewa kwenye mradi wa Itoni-Lusitu wanadai Barabara hiyo inakwenda kuharibu mito kwa itapita kwenye vilima ambavyo ndio...
  19. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mfaransa na Mreno nani alifanikiwa kwenye assimilation policy Africa?

    Assimilation sijui neno lake kwa kiswahili. Niiweke hivi asimileshen ni idea flani hivi watu wanalazimishwa kwa hiari kufuata na kuridhia tamaduni za wengine nakuacha tamatuni zao. Mfaransa na Mreno waliweza kufanikisha hili kwenye makoloni zao walizotawala Africa kwa mafanikio makubwa sana...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

    Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki? Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani. Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri...
Back
Top Bottom