Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,608
93,384
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.

Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.

Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?

Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
 
Kuna mda inabidi tukubaliane na wazungu tu, Haina haja ya kuchukia vitu wanavyoleta, mana tokea wadogo tunatumia vitu kutoka kwao kondom, njano za udogoni, dawa, magari , sisi maniga ni tegemezi tukubali tu, ni kazi sana kujitoa huko.
 
Hayo ya Nyerere unayajua wewe, sisi hata hatukuwepo, Kwanza unaonekana una hoja, jipange ulete tena uzi,
Yahani msaada mpaka wa chakula kwenye nchi yenye aridhi yenye rutuba, maziwa na mito kuna vitu ukipewa msaada unasema kweli huu msaada ni sawa lakini sio chakula hili lipo ndani ya uwezo wetu.

Serikali ifike hatua ituondolee aibu kama hizi
 
Kwa uhalisia Tz , inaweza kujiendesha bila misaada kutoka nje kwani tumebarikiwa rasilimali nyingi, kipengele ni uongozi tu.
 
wawapige tu mpaka akili ziwakae sawa , mtaletewa hadi maji ya kunywa yenye virutubisho kutoka marekani.
 
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.

Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.

Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?

Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
Scenario tofauti kipindi cha Nyerere nchi ilikuwa na njaa. Na nchi ilikuwa na ukame na tulitoka kwenye vita..... So ilikuwa inevitable.
Lakini hii ya Sasa nchi malori yanapishana mpakani kulisha nchi jirani then waenda kuomba msaada WA Michele?
 
Sasa piechdii..Hao watoto wenye utapiamlo ndo hao waliopo kwen govt sculz? Nyerere alileta manjano akat nchi iko na hali gani? Na mchele umekuja wakat gan ? Wakat ambao yanga wakifunga goli moja ikulu inatoa milion tano?
 
Hizo ndio kurasa 365 za mama Kizi mkazi, ameamua kuzihitimisha kwa kuwasogezea watanzania mchele na maharage yenye virutubisho.
Unashangaa almost kila mwezi anasafiri kwenda nje ya nchi agenda kuu ni kuomba pesa za kujenga matundu ya vyoo na kuomba misaada ya mchele na maharage yenye virutubisho. Hapa ndio naona walitaka kufanya jambo la maana wale waliotaka kuipindisha katiba
 
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.
Kwani unga wa Yanga sio chakula cha binadamu mbona huliwa tu

Kwa hiyo chakula kama mnyama anakula binadamu hatutakiwi kula? Mfano moshi maparachochi wachaga miaka minhi walikuwa wanajua ni chakula cha nguruwe.Maparachichi walikuwa wakilisha nguruwe tu .Mparachichi hata uzae makubwa namna hani wao walikuwa wanawapa nguruwe tu.

Sasa hivi miaka ya karibuni tu hapa ndio wamejjua kuwa ni chakula cha binadamu tena hawajaanza kula leo .Sasa hivi hawawapi nguruwe wanauzia watu wale

Hoja yako dhaifu kuwa kikiwa chakula cha mnyama binadamu hawezi kula sio kweli
 
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.

Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.

Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?

Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
We mwenyewe umesema wakati wa Nyerere ni sababu ya njaa, leo kuna njaa wapi Tanzania? unaujua utapiamlo wewe?
 
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.

Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.

Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?

Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
una uhakika watu wanajua hizi stori za unga wa yanga
 
Back
Top Bottom