Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,095
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
 
Back
Top Bottom