Tofauti ya kuchepuka iliyopo kati ya mwanaume na mwanamke

Mwanaume akichepuka ni sawa na mtu kunawa mikono kwenye mabakuli tofauti tofauti.
Mwanamkenakichepuka ni sawa na watu kunawa mikono kwenye bakuli moja.
Umeiona tofauti hapo?

View: https://www.instagram.com/reel/C4hmiefouBo/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
View attachment 2941654

Tofauti ipo 🐒

Mwanaume mchepukaji ndio huo mkono unao nawa kwenye mabakuli mengi 🐒

huyo mwanamke mchepukaji ndio hilo bakuli lenyewe mdebwedo ambamo mikono mingi hunawia ndraaaaaani yake 🐒
 
Back
Top Bottom