Paul Makonda apewe Ubalozi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au Burundi?

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Salaam Wakuu,

Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti.

Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu.

Siku zote Rais Samia amesema Serikali yake ni awamu ya Sita. Makonda anasema Serikali ni ya awamu ya tano sababu inatumia Ilani ya awamu ya tano. Je, anabishana na Rais wake?

Kuna maneno anaongea kumkejeli mtu aliyemteua kana kwamba hajui kazi. Mfano anasema "Nabadilika kutokanana Mazingira, Ningeteuliwa kipindi cha Magufuli Chuma, wale jamaa wangenyooka - unatamani kupiga panchi onaona Mama sio Mapigo yake" Hizi ni dharau kwa rais. Kwamba Samia sio Chuma? Wakati kakupa uteuzi?

Kwa nafasi yake ya Uenezi anasema tusimtofautishe Rais Samia na Hayati Magufuli. Kwanini anakataa tusimtofautishe wakati tofauti zinaonekana?

1. Rais Samia Kaunganisha Nchi wakati Magufuli aliisambaratisha

2. Rais Samia kafungua Nchi kipindi cha Magufuli tulikuwa kama Kisiwani

3. Rais Samia hakuna Utekaji wala watu kupotea kipindi cha Magufuli tulikuwa tunaokota Maiti kwenye zimefungwa kwenye Gunia zikielea Coco beach.

4. Rais Samia hanyang'anyi pesa za mtu zilizopo Benki, kipindi cha Magufuli alikuwa anatuma watu wakague mabenki nani ana fedha nyingi kisha wanamfungulia kesi ya Uhujumu Uchumi baadaye anawataka wagawane hela zilizopo Benki ili wawe huru

5. Rais Samia karuhusu Mikutano ya Siasa, Kipindi cha Magufuli hapakuwa na Mkutano ya siasa

6. Rais Samia anatupa tume huru wakati wa Magufuli alikuwa anaengua watu na Wagombea wa Vyama vya upinzani wanafungwa jela wakitoka CCM ishashinda.

7. Tais Samia yupo kwenye Mchakato wa kutupa Katiba Mpya, Wakati wa Magufuli alisema haliitangaza kwenye ilani ya CCM.

Yapo mengi sana.. Sasa hivi Watanzania wanafuraha na wqnatabasamu nk.

Halafu Makonda anatokea huko eti Magufuli na Samia ni kitu kimoja.

Paul Makonda anadanganywa na Polepole. Nia yake ni kumtoa Rais Samia kwenye reli.

Alichukua hela za matajiri, kaenda kufanya Mikutano kanda ya Ziwa ili kumtisha Mama kwamba bila Makonda Samia hapati kura. Anajidanganya.

Ni wakati wa Samia kumpangia kazi nyingine. Sababu ubalozi wenyewe alishapigwa ban kwenda Marekani wala kuhudhuria Mikutano inayoongozwa na Marekani kwa kosa la kudhurumu uhai wa binadamu alipokuwa Mkuu wa Mkoa.

Makonda ni Jumba bovu. Asimuangukie Rais wetu bado tunamtegemea. Alituvusha salama kipindi cha Msiba wa Taifa na Bado Kasimama.

Makonda asimchafue. Amuache awaletee maendeleo Watanzania. Asilinganishwe na yoyote
 
Makonda alichosema ni ukweli, Samia sio Magufuli kwa namna nyingi sana, kubwa zaidi;

- Uwajibikaji na kiutendaji, siku hizi naona mawaziri wanashindana kutuibia huku Samia akiwatazama tu, wanakumbuka alishawaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao na wanakula kweli.

Sasa kwanini umtake Makonda ajiuzulu kwa kusema kweli? na tangu lini kusema kweli kukawa kumkosea adabu Samia? au unataka Samia apewe sifa asizostahili? wewe utakuwa ni chawa wa Samia.

Nakushangaa zaidi unavyomtofautisha Samia na Makonda kwa kumuita Makonda jumba bovu, kwani wakati Samia akimpa cheo Makonda hakuwaona wengine? kama aliwaona kwanini akawatosa? ukweli ni kwasababu wengine walishindwa.

Sijui kwanini uwepo wa Makonda unawavuruga sana? mnahangaika kumtenganisha Samia na CCM yake na Makonda, kama vile CCM ni chama cha malaika, naona mnajidanganya tu.

Kwani Samia wakati anampa cheo Makonda hakujua kama amezuiwa kukanyaga USA?! kama alijua huo umalaika wa Samia unatoka wapi!.
 
Salaam Wakuu,

Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera ya za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti.

Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu.

Siku zote Rais Samia amesema Serikali yake ni awamu ya Sita. Makonda anasema Serikali ni ya awamu ya tano sababu inatumia Ilani ya awamu ya tano. Je, anabishana na Rais wake?

Kuna maneno anaongea kumkejeli mtu aliyemteua kana kwamba hajui kazi. Mfano anasema "Nabadilika kutokanana Mazingira, Ningeteuliwa kipindi cha Magufuli Chuma, wale jamaa wangenyooka - unatamani kupiga panchi onaona Mama sio Mapigo yake" Hizi ni dharau kwa rais. Kwamba Samia sio Chuma? Wakati kakupa uteuzi?
View attachment 2945836
Kwa nafasi yake ya Uenezi anasema tusimtofautishe Rais Samia na Hayati Magufuli. Kwanini anakataa tusimtofautishe wakati tofauti zinaonekana?

1. Rais Samia Kaunganisha Nchi wakati Magufuli aliisambaratisha

2. Rais Samia kafungua Nchi kipindi cha Magufuli tulikuwa kama Kisiwani

3. Rais Samia hakuna Utekaji wala watu kupotea kipindi cha Magufuli tulikuwa tunaokota Maiti kwenye zimefungwa kwenye Gunia zikielea Coco beach.

4. Rais Samia hanyang'anyi pesa za mtu zilizopo Benki, kipindi cha Magufuli alikuwa anatuma watu wakague mabenki nani ana fedha nyingi kisha wanamfungulia kesi ya Uhujumu Uchumi baadaye anawataka wagawane hela zilizopo Benki ili wawe huru

5. Rais Samia karuhusu Mikutano ya Siasa, Kipindi cha Magufuli hapakuwa na Mkutano ya siasa

6. Rais Samia anatupa tume huru wakati wa Magufuli alikuwa anaengua watu na Wagombea wa Vyama vya upinzani wanafungwa jela wakitoka CCM ishashinda.

7. Tais Samia yupo kwenye Mchakato wa kutupa Katiba Mpya, Wakati wa Magufuli alisema haliitangaza kwenye ilani ya CCM.

Yapo mengi sana.. Sasa hivi Watanzania wanafuraha na wqnatabasamu nk.

Halafu Makonda anatokea huko eti Magufuli na Samia ni kitu kimoja.

Paul Makonda anadanganywa na Polepole. Nia yake ni kumtoa Rais Samia kwenye reli.

Alichukua hela za matajiri, kaenda kufanya Mikutano kanda ya Ziwa ili kumtisha Mama kwamba bila Makonda Samia hapati kura. Anajidanganya.

Ni wakati wa Samia kumpangia kazi nyingine. Sababu ubalozi wenyewe alishapigwa ban kwenda Marekani wala kuhudhuria Mikutano inayoongozwa na Marekani kwa kusa la kudhurumu uhai wa binadamu alipokuwa Mkuu wa Mkoa.

Makonda ni Jumba bovu. Asimuangukie Rais wetu bado tunamtegemea. Alitivisha salama kipindi cha Msiba wa Taifa na Bado Kasimama.

Makonda asimchafue. Amuache awaletee maendeleo Watanzania. Asilinganishwe na yoyote
Na hiyo awamu yako ya Sita ilipigiwa kura na wananchi wapi?
Ilani inayotumika na CCM kwa sasa ilinadiwa na nani zaidi ya Magufuli?
Au ni awamu ya sita sababu imeshikwa na "FIsi" wa Msoga na genge lake?

Ewe mfuasi wa upumbavu jaribu kutuliza tako.wananchi wanahitaji maisha bora na huduma stahiki katika kila siku inayopita hapa Duniani.

Wewe na wenzako wanasiasa mnafurahia kwa sababu Samia ametimiza takwa lenu.
Mnakula urefu wa kamba zenu mpaka mnasaza!

Samia ameturudisha ile Tanzania tuliyokuwa tumeisahau.
SAMIA AMEUZA BANDARI ZETU.
SAMIA AMELETA TOZO.
SAMIA AMEKOPA TRILIONI 300 KWA MIAKA MITATU.
MATIBABU GHALI.
BEI ZA BIDHAA JUU.
KATIZO LA UMEME.
UFISADI NA UBADHIRIFU SERIKALINI.
MATUMIZI YA OVYO KWA MANUNUZI YA ANASA!

Halafu unakuja mpumbavu mmoja kimada wa majizi na kutamka uharo hapa!

Magufuli alihakikisha kila mtanzania anapata Riziki yake kiuhalali,tatizo watanzania hasa viongozi na Cartel's yao!
Maisha bila wizi hawatobowi.

Shame On you all!

Who's behind this?
Makamba?
Nape?
Msoga?
Eti mnalipana Mishahara wake wa wenza?
Wengine wanapewa Ruzuku halafu wanaigeuza allowance ya maandamano!
Duh.....
Makonda anakuja kuwa Bosi wenu mtake msitake!
Labda mumjanabi na yeye Manyang'au nyie!

Hamjui tu jinsi wananchi walivyojawa na pumzi vifuani mwao na siku ikiwadia mtaandamana kwenye viwanja vya ndege......
Samia alituambia watanzania kuwa bandari inayouzwa ni ya Dar es Salaam pekee!
Lakini sasa ni dhahiri shayiri Tanga na Mtwara zimekwenda![emoji116
 
Awamu ya sita waziri mkuu yuleyule!!? Makonda yuko sawa %💯 mnapata wapi uhalali wa kutenganisha mafanikio ya Samia na naghufuli!

Hivi mnazani bila magufuli mwanza daraja la busisi lingejengwa ndege meli na sitendi mpya kuanzia drl Dodoma mpaka mwanza

Yote hayo hamuyaoni nahilo ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia matumbo badala ya vichwa

Iri mpate uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa inabidi miradi yote iriyo anzishwa hawamu ya 5 msiiusishe na hawamu ya6

Mkitaka kumsifia mama njooni na orodha ya miladi iriyo anzishwa na serikali ya hawamu ya 6 iri wananchi tuijuwe tena muanze na mradi namba 1 wa bandari

Mkifanya hivyo hapo ndipo mtakuwa na uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa,
 
Awamu ya sita waziri mkuu yuleyule!!? Makonda yuko sawa % mnapata wapi uhalali wa kutenganisha mafanikio ya Samia na naghufuli!

Hivi mnazani bila magufuli mwanza daraja la busisi lingejengwa ndege meli na sitendi mpya kuanzia drl Dodoma mpaka mwanza

Yote hayo hamuyaoni nahilo ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia matumbo badala ya vichwa

Iri mpate uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa inabidi miradi yote iriyo anzishwa hawamu ya 5 msiiusishe na hawamu ya6

Mkitaka kumsifia mama njooni na orodha ya miladi iriyo anzishwa na serikali ya hawamu ya 6 iri wananchi tuijuwe tena muanze na mradi namba 1 wa bandari

Mkifanya hivyo hapo ndipo mtakuwa na uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa,
Kuna kundi limelewa Asali na sasa wanapayuka tu.

Na wapumbavu wanaombeza MAGUFULI ni genge digo ambalo limeishika hii CCM ya Mama!
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia
"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu.
Ingawa kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na wataendelea kuneemeka na vizazi vyao.kutokana na mkataba huu mbovu.

Na kama watanzania tungejitafuta na kujitambua!
Kama sio kuiondoa
CCM- Maslahi basi walau wabunge wake kwa 75% warudishwe majumbani na kupisha kizazi kipya cha Bunge.

Hii itatoa fundisho kwa wabunge kuwa wanajitambua majukumu yao!
Wanakwenda kujiwakilisha wao na matumbo yao Badala ya kwenda kuwawakilisha wapiga kura waliowapigia kura.

Hata upinzani pia tumeyaona madudu mengi ila kwa sasa naongelea Waliouza bandari zetu.

Pia soma hii
 
Kati ya vitu ambavyo hayati magufuli kafanya
 
Attachments

  • Screenshot_20240327_122454.jpg
    Screenshot_20240327_122454.jpg
    188.6 KB · Views: 3
Awamu ya sita waziri mkuu yuleyule!!? Makonda yuko sawa %💯 mnapata wapi uhalali wa kutenganisha mafanikio ya Samia na naghufuli!

Hivi mnazani bila magufuli mwanza daraja la busisi lingejengwa ndege meli na sitendi mpya kuanzia drl Dodoma mpaka mwanza

Yote hayo hamuyaoni nahilo ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia matumbo badala ya vichwa

Iri mpate uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa inabidi miradi yote iriyo anzishwa hawamu ya 5 msiiusishe na hawamu ya6

Mkitaka kumsifia mama njooni na orodha ya miladi iriyo anzishwa na serikali ya hawamu ya 6 iri wananchi tuijuwe tena muanze na mradi namba 1 wa bandari

Mkifanya hivyo hapo ndipo mtakuwa na uhalali wa kutenganisha mafanikio ya wawili hawa,
Screenshot_20240327_122454.jpg
daraja la busisi pia hatujasahau

Sasa nyinyi njooni na orodha yenu ya anaupiga mwingi mtuambie ni miladi gani imeanzishwa hawamu ya 6 natambua wazi kabisa kuwa kusifiwa ni haki yake lakini msifieni kwa kile kinacho msitahili mpongezeni kwa yale yanayo msitahili
 
Salaam Wakuu,

Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera ya za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti.

Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu.

Siku zote Rais Samia amesema Serikali yake ni awamu ya Sita. Makonda anasema Serikali ni ya awamu ya tano sababu inatumia Ilani ya awamu ya tano. Je, anabishana na Rais wake?

Kuna maneno anaongea kumkejeli mtu aliyemteua kana kwamba hajui kazi. Mfano anasema "Nabadilika kutokanana Mazingira, Ningeteuliwa kipindi cha Magufuli Chuma, wale jamaa wangenyooka - unatamani kupiga panchi onaona Mama sio Mapigo yake" Hizi ni dharau kwa rais. Kwamba Samia sio Chuma? Wakati kakupa uteuzi?
View attachment 2945836
Kwa nafasi yake ya Uenezi anasema tusimtofautishe Rais Samia na Hayati Magufuli. Kwanini anakataa tusimtofautishe wakati tofauti zinaonekana?

1. Rais Samia Kaunganisha Nchi wakati Magufuli aliisambaratisha

2. Rais Samia kafungua Nchi kipindi cha Magufuli tulikuwa kama Kisiwani

3. Rais Samia hakuna Utekaji wala watu kupotea kipindi cha Magufuli tulikuwa tunaokota Maiti kwenye zimefungwa kwenye Gunia zikielea Coco beach.

4. Rais Samia hanyang'anyi pesa za mtu zilizopo Benki, kipindi cha Magufuli alikuwa anatuma watu wakague mabenki nani ana fedha nyingi kisha wanamfungulia kesi ya Uhujumu Uchumi baadaye anawataka wagawane hela zilizopo Benki ili wawe huru

5. Rais Samia karuhusu Mikutano ya Siasa, Kipindi cha Magufuli hapakuwa na Mkutano ya siasa

6. Rais Samia anatupa tume huru wakati wa Magufuli alikuwa anaengua watu na Wagombea wa Vyama vya upinzani wanafungwa jela wakitoka CCM ishashinda.

7. Tais Samia yupo kwenye Mchakato wa kutupa Katiba Mpya, Wakati wa Magufuli alisema haliitangaza kwenye ilani ya CCM.

Yapo mengi sana.. Sasa hivi Watanzania wanafuraha na wqnatabasamu nk.

Halafu Makonda anatokea huko eti Magufuli na Samia ni kitu kimoja.

Paul Makonda anadanganywa na Polepole. Nia yake ni kumtoa Rais Samia kwenye reli.

Alichukua hela za matajiri, kaenda kufanya Mikutano kanda ya Ziwa ili kumtisha Mama kwamba bila Makonda Samia hapati kura. Anajidanganya.

Ni wakati wa Samia kumpangia kazi nyingine. Sababu ubalozi wenyewe alishapigwa ban kwenda Marekani wala kuhudhuria Mikutano inayoongozwa na Marekani kwa kusa la kudhurumu uhai wa binadamu alipokuwa Mkuu wa Mkoa.

Makonda ni Jumba bovu. Asimuangukie Rais wetu bado tunamtegemea. Alitivisha salama kipindi cha Msiba wa Taifa na Bado Kasimama.

Makonda asimchafue. Amuache awaletee maendeleo Watanzania. Asilinganishwe na yoyote

Kusema Samia ameiunganisha nchi, ni uwongo mkubwa.

Rais Samia ameibua utengano mkubwa sana kwa kuzigawa rasilimali za Tanganyika kwa Waarabu na Wazanzibari kwa kuamini Watanganyika hawana akili. Tangu lini wanaodhulumiwa wakaunganika na wadhulumaji?

Mpaka sasa, amepalilia sana hata utengano wa kidini. Hata alipogawa rasilimali za Tanganyika kwa waarabu, baadhi ya waislam na wakristo wajinga, waliliweka jambo hilo kwenye mtazamo wa kidini. Wakati TEC wakitetea rasilimali za Tanganyika, baadhi ya viongozi wajinga wa Kiislam, wakautetea uhalifu huo kwa mtazamo wa kidini.

Samia kawagawia Waarabu hifadhi za misitu asilia ya Tanganyika kwa kudai kuwa eti hao waarabu wa jangwani ni wawekezaji! Hivi unawekeza nini kwenye hifadhi ya msitu asilia? Ameleta wavunaji, halafu anawahadaa watu kuwa ni wawekezaji. Kwa nini asingewapeleka Zanzibar akawagawie samaki wa bahari ya eneo la Zanzibar, lakini kwa kuwaona watanganyika ni hawana akili, anagawa rasilimali za Tanga yika?
 
Salaam Wakuu,

Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera ya za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti.

Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu.

Siku zote Rais Samia amesema Serikali yake ni awamu ya Sita. Makonda anasema Serikali ni ya awamu ya tano sababu inatumia Ilani ya awamu ya tano. Je, anabishana na Rais wake?

Kuna maneno anaongea kumkejeli mtu aliyemteua kana kwamba hajui kazi. Mfano anasema "Nabadilika kutokanana Mazingira, Ningeteuliwa kipindi cha Magufuli Chuma, wale jamaa wangenyooka - unatamani kupiga panchi onaona Mama sio Mapigo yake" Hizi ni dharau kwa rais. Kwamba Samia sio Chuma? Wakati kakupa uteuzi?
View attachment 2945836
Kwa nafasi yake ya Uenezi anasema tusimtofautishe Rais Samia na Hayati Magufuli. Kwanini anakataa tusimtofautishe wakati tofauti zinaonekana?

1. Rais Samia Kaunganisha Nchi wakati Magufuli aliisambaratisha

2. Rais Samia kafungua Nchi kipindi cha Magufuli tulikuwa kama Kisiwani

3. Rais Samia hakuna Utekaji wala watu kupotea kipindi cha Magufuli tulikuwa tunaokota Maiti kwenye zimefungwa kwenye Gunia zikielea Coco beach.

4. Rais Samia hanyang'anyi pesa za mtu zilizopo Benki, kipindi cha Magufuli alikuwa anatuma watu wakague mabenki nani ana fedha nyingi kisha wanamfungulia kesi ya Uhujumu Uchumi baadaye anawataka wagawane hela zilizopo Benki ili wawe huru

5. Rais Samia karuhusu Mikutano ya Siasa, Kipindi cha Magufuli hapakuwa na Mkutano ya siasa

6. Rais Samia anatupa tume huru wakati wa Magufuli alikuwa anaengua watu na Wagombea wa Vyama vya upinzani wanafungwa jela wakitoka CCM ishashinda.

7. Tais Samia yupo kwenye Mchakato wa kutupa Katiba Mpya, Wakati wa Magufuli alisema haliitangaza kwenye ilani ya CCM.

Yapo mengi sana.. Sasa hivi Watanzania wanafuraha na wqnatabasamu nk.

Halafu Makonda anatokea huko eti Magufuli na Samia ni kitu kimoja.

Paul Makonda anadanganywa na Polepole. Nia yake ni kumtoa Rais Samia kwenye reli.

Alichukua hela za matajiri, kaenda kufanya Mikutano kanda ya Ziwa ili kumtisha Mama kwamba bila Makonda Samia hapati kura. Anajidanganya.

Ni wakati wa Samia kumpangia kazi nyingine. Sababu ubalozi wenyewe alishapigwa ban kwenda Marekani wala kuhudhuria Mikutano inayoongozwa na Marekani kwa kusa la kudhurumu uhai wa binadamu alipokuwa Mkuu wa Mkoa.

Makonda ni Jumba bovu. Asimuangukie Rais wetu bado tunamtegemea. Alitivisha salama kipindi cha Msiba wa Taifa na Bado Kasimama.

Makonda asimchafue. Amuache awaletee maendeleo Watanzania. Asilinganishwe na yoyote
Huyu mtoto aache kibri na kejeli kwa raisi dawa yake inachemka tutamtupa ubalozi kama siyo taiwan ni mongolia
 
Asante sana Rais Samia. Baada ya Wiki akakae Rukwa. Arusha atwaumiza wafanyabiashara wa madini na Utalii uteteleka kwa kuogopa kutekwa.
 
Na hiyo awamu yako ya Sita ilipigiwa kura na wananchi wapi?
Ilani inayotumika na CCM kwa sasa ilinadiwa na nani zaidi ya Magufuli?
Au ni awamu ya sita sababu imeshikwa na "FIsi" wa Msoga na genge lake?

Ewe mfuasi wa upumbavu jaribu kutuliza tako.wananchi wanahitaji maisha bora na huduma stahiki katika kila siku inayopita hapa Duniani.

Wewe na wenzako wanasiasa mnafurahia kwa sababu Samia ametimiza takwa lenu.
Mnakula urefu wa kamba zenu mpaka mnasaza!

Samia ameturudisha ile Tanzania tuliyokuwa tumeisahau.
SAMIA AMEUZA BANDARI ZETU.
SAMIA AMELETA TOZO.
SAMIA AMEKOPA TRILIONI 300 KWA MIAKA MITATU.
MATIBABU GHALI.
BEI ZA BIDHAA JUU.
KATIZO LA UMEME.
UFISADI NA UBADHIRIFU SERIKALINI.
MATUMIZI YA OVYO KWA MANUNUZI YA ANASA!

Halafu unakuja mpumbavu mmoja kimada wa majizi na kutamka uharo hapa!

Magufuli alihakikisha kila mtanzania anapata Riziki yake kiuhalali,tatizo watanzania hasa viongozi na Cartel's yao!
Maisha bila wizi hawatobowi.

Shame On you all!

Who's behind this?
Makamba?
Nape?
Msoga?
Eti mnalipana Mishahara wake wa wenza?
Wengine wanapewa Ruzuku halafu wanaigeuza allowance ya maandamano!
Duh.....
Makonda anakuja kuwa Bosi wenu mtake msitake!
Labda mumjanabi na yeye Manyang'au nyie!

Hamjui tu jinsi wananchi walivyojawa na pumzi vifuani mwao na siku ikiwadia mtaandamana kwenye viwanja vya ndege......
Samia alituambia watanzania kuwa bandari inayouzwa ni ya Dar es Salaam pekee!
Lakini sasa ni dhahiri shayiri Tanga na Mtwara zimekwenda![emoji116
Awamu hii mtatia akili nyie sukuma gang. Kamwe Tanzania haiji tena kuongozwa na muovu style ya Jiwe
 
Back
Top Bottom