kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Surya

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  2. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Nani alitangulia kati ya Yeriko Nyerere na Nashon C Elia kwenye suala la ujasusi katika dola na uchumi?

    Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere. Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
  3. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mahojiano kati ya aliyekuwa Mkurugenzi wa MCL Tido Mhando na Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
  4. Mbwa dume

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mchungu! Wanawake wa kijijini wana ladha ya asili

    Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa. Natumaini mko swafi na mnaendelea kuupiga mwingi. Bila kupoteza muda niende kwenye mada Kuna kautafiti binafsi nimekafanya ili kuona tofauti kati ya mbususu pori na hawa madada wa mjini a.k.a. Slay queens. Nilichogundua mabinti wa kijijini (mbususu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Haujawahi kuwepo, haupo,na hautakuwepo urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume

    Salaam, Shalom!! Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia). Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui HAPANA, yapo mahusiano ya kibinadamu Kwakuwa sisi sote ni watu, tunahusiana katika nyanja mbalimbali...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kati ya imani za Kikristo, Kiislam na zile za asili ni ipi imechocheq umasikini kwa kasi nchini?

    Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja. Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu Mifumo ya imani. Je unadhani ni imani ipi imetoa mchango kwa asilimia kubwa katika umasikini wa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata hapa: Nani mkali kwenye kila eneo kati ya The Rock na John Cena?

    Unamkubali zaidi nani kati ya John Cena na The Rock
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
  9. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tofauti kati ya Heshima na Nidhamu? Je mtu anaweza kuwa na heshima na akakosa Nidhamu?

    Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha. Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wakati Uchumi wa nchi una nafuu wafanyakazi waliongezewa kati ya elfu 8-12. Je, sasa hivi itakuwaje?

    Hakika Wafanyakazi wa Tanzania ni wa kuhurumiwa mno! Kama mwaka uliopita ambako hakukuwa na Maandamano ya kupinga Ugumu wa Maisha Nyongeza ya Mshahara ikafichwa siku ya Mei mosi, kwa maelezo kwamba watakutana nayo kwenye mshahara wa July, lengo likiwa Wafanyabiashara wasipandishe bei ya bidhaa...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Tofauti kati ya Jina la Biashara na Kampuni

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni na majina ya biashara huwa ninakutana na maswali mbalimbali kuhusu tofauti iliyoko kati ya Jina la...
  12. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutaka kupigana kati ya Harmonize na Mwakinyo katika mazingira yake waliyokutana hamna logic!

    salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious. Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
  13. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii) Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo; 1. Parasitology and Entomology 2. Molecular biology and Biotechnology 3. Cell biology and Genetic 4. Developmental biology...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lipi jema kwa Mswahili / Mwafrika kati ya Kuchagua Kuishi maisha ya Kujitenga nao waseme Unaringa au Kujichanganya nao Wakuzoee na waanze Kukudharau?

    Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
  15. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Je! kuna Bifu kati ya staff wa tanesco na dawasa?

    leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa tanesco popo yakaanza matusi sasa 🤣🤣🤣
  16. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Currency swap kati ya Tanzania na China, India, Turkey kukabiliana na uhaba wa Dola

    Kuna biashara kubwa sana (inayohusisha mabilioni ya fedha) baina ya nchi yetu na China, India, Uturuki, Afrika Kusini n.k. Taifa letu bado ni tegemezi katika kuagiza vitu, vifaa, chakula, nguo na mengine toka katika nchi mbalimbali. Hili linafanya wafanyabiashara wanaoagiza kuhitaji na kutafuta...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
  18. De Opera

    JamiiForums Tanzania Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Wakuu kwema? Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema. Lipi ni neno sahihi? Ahsanteni!
  19. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Uagizaji na Mauzo ya Nje ya China ni mfano wa kunufaishana kati ya China na dunia

    Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
Back
Top Bottom