Mitandao ya Internet Imekuwa Mibovu siku za karibuni, vipi kwako?

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Mitando imekuwa na huduma mbovu ya Network sana, Mfano Vodacome now day inasumbua mnoo, kutuma sms, internet kuna mtu haifanyi kazi, Je, Ni kuwa imeelemewa sana wateja wameongezeka ikiwa hawajaongeza jitihada ya kuwamudu. Au tatizo liko wapi!

Na tigo ndo kabisaaaa

Hawatoi tamko lolote lile, Watumiaji tunaumia


UPDATE
Hatimaye Mtandao mmoja Tanzania umtoa tamko juu ya tatizo hili Internet, na wameeleza kuwa Tatizo hilo ni kutokana na tatizo lililoikumba Mkongo wa taifa baharini

photo_2024-03-15_06-20-47.jpg
 
Nilijuwa labda ni mimi tu au labda simu yangu ina matatizo yanayopelekea mtandao wa internet kusumbua sana tofauti na awali. Kwa sasa imekuwa ni shida sana kiukweli.
Mama anaupiga mwingi huku kwenye TTCL.

Nashangaa kukuona kijana Mzalendo na mpenda Nchi yako unaacha kutumia TTCL ma kukimbilia mitandao mingine
 
Voda kuna kipindi internet inasumbua kidogo inapotea kabisa mpaka nikahisi sim mbovu hata halotel hivyovyo.
 
Back
Top Bottom