😂LAbda ufanye mahojiano vizuri na bibi yako mkuu🤣 akwambie zamani ilikua vipi
😂😂LAbda ufanye mahojiano vizuri na bibi yako mkuu🤣 akwambie zamani ilikua vipi
bado nipo fumboni kufinyia kwa ndani ndo nini au ni kuwekwa lock up..??
Alikufundishaje huyo Bibi yako?Mim dada Yako nilifundishwa na bibi yangu
Ni unaizungumzia Babycare?Sisi wa kataa ndoa tunaruhusiwa kujadili..?? Maana hatutaki shida na hatuna masharti, hatuna makuu, awe anafinyia ama anaikunia nazi, aichumie tembele, ama afe kama membe hatujali...
Sikutegemea hili jibu😂😂😂LAbda ufanye mahojiano vizuri na bibi yako mkuu🤣 akwambie zamani ilikua vipi
muulize yule diwani wa kawe aliyefichwa na asha wa tabataKwani ndio Nini
Hebu wazee waje waseme walifinyiwa Kwa nje au😀
We mdada upo?LAbda ufanye mahojiano vizuri na bibi yako mkuu akwambie zamani ilikua vipi
Kwani shuleni kwenu mnaruhusiwa kwenda na simu?bado nipo fumboni kufinyia kwa ndani ndo nini au ni kuwekwa lock up..??
NakaziaLAbda ufanye mahojiano vizuri na bibi yako mkuu🤣 akwambie zamani ilikua vipi
Majeneza?We mdada upo?
Kuja pm basi boss wangu soon naleta mzigo wa majeneza Dar nikifika ningependa japo nikuletee zawadi kutoka Dom