Chimbo jipya la Madini laibuka Songea, Mnakaribishwa.

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,762
21,237
RUVUMA.
Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika.

Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa.

Kwa sasa magari hayawezi kufika na hata boda zenyewe ni chache sababu waendesha boda wenyewe wamegeukia madini.

Nimeiona taarifa hii ikiwa inatamatika kupitia Uhai Televisioni.

Aliye na taarifa za undani mwaga maelezo yakinifu, nauli ipo tayari kuelekea kujaribu bahati, Nelson Jacob Kagame vipi unaonaje hili chimbo?
 
SHAMBA LAKO LIKIWA NA MADINI NI ENEO LA SERIKALI, NGOJA UKAMATWE UNALIMA BANGI SASA
 
Jamaa ananiambia boda hadi machimboni 30kl, jamaa wanapiga trip za kutosha, vibanda vya mamalishe nk vimemea vya kutosha.
Kwenye Rush zozote za madini hao ndiyo wanatajirika. Peleka bia, msosi, vifaa vya kuchimbia, jenga gesti ya mabati, kuwa pimp, uza bangi, sigara nk nk. Wewe ndiyo utatoka. Asilimia kubwa ya prospectors wanarudi na viraka. BTW, ni madini gani yamelipuka?
 
RUVUMA.
Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika.

Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa.

Kwa sasa magari hayawezi kufika na hata boda zenyewe ni chache sababu waendesha boda wenyewe wamegeukia madini.

Nimeiona taarifa hii ikiwa inatamatika kupitia Uhai Televisioni.

Aliye na taarifa za undani mwaga maelezo yakinifu, nauli ipo tayari kuelekea kujaribu bahati, Nelson Jacob Kagame vipi unaonaje hili chimbo?
Machimbo mapya hayajatambikiwa na wazee.......watakula garasa.
Labda kama wameshapata baraka za wazee wenyeji wa pale.
 
Back
Top Bottom