Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

Nagweretu

Member
Jan 21, 2020
73
70
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana

Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa

La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.

La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa makadilio na miti yake ni umri wa miaka 4 bei ni milioni 60

Mashamba yote yanafikika kwa urahisi kwa gari na karibia KM 4 kutoka balabala ya rami

Iwe ni mtu binafsi , taasisi , kanisa, msikiti , viwanda , kampuni n.k. Mnakaribishwa kwenye uwekezaji huo
Location MULEBA KAGERA

+255 621 908 727
 
Karibuni
 

Attachments

  • IMG_20240328_084107.jpg
    IMG_20240328_084107.jpg
    2.9 MB · Views: 5

Similar Discussions

Back
Top Bottom