Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu.
Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali unaongalia wanyonge wanasemaje.
Habari zaidi:
Dar es Salaam. Kampuni ya Millicom International...
Hii ndio Taarifa ambayo Mwekezaji Mzalendo Ndugu Mbilinyi ameisambaza kwa vyombo vya habari vya ndani na Nje ya Nchi , wakati akitia Saini Mkataba huo wa kusimamia masuala ya Logistics mbele ya jopo la Wanasheria wake wa Kimataifa na washauri wake wa masuala ya biashara Mjini Iringa
Sugu...
Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo;
Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara), Anuani za Posta na Makazi za Wananchi ambao na Wateja wa Makampuni ya biashara
Barua pepe za watu...
Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS...
Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na...
Wazoefu naomba kuelekezwa ni kampuni ipi ambayo huwa inacharge makato madogo iwe 0.0% au 0.5% wakati wa kulipia bidhaa au kutumia kwenye ishu za kibiashara kutoka mitandao hii ya simu.
Baadhi nilizowahi kutumia
SELCOM wanakata 1%
MLIPA wanakata 3%
LIPA KWA MPESA 0.5% (hii nmeitumia zaman kidogo...
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela...
=======
Rais Samia Suluhu: Wote tunajua jinsi Rais Magufuli alivyounga mkono mradi huu hivyo kuahirisha zoezi hili ilikuwa katika heshima kutambua juhudi zake katika mradi huu.
Mradi huu utatoa mapato kwa nchi zote, ajira za muda mfupi na kudumu na kujibu tatizo la ajira. Mradi huu utakuza...
TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi.
Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa.
Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.
Nahitaji kufungua kampuni itayodeal na financial services.
Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.
Zawadi ya elf 10000 itatolewa kama zawadi.
Mambo vipi wadau,
Jamani naomba msaada kujua kampuni inayofanya shipping kwa bei poa kutoka kwenye maduka ya CHINA kama vile ALIEXPRESS AU ALIBABA au Maduka ya US kama Amazon.
Kwa mwenye kujua na utaratibu wake atakua amenisaidia sana.
Nawatakia siku njema.
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani...
Habari wana JF,
Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania
- Je, ni kampuni ipii inahusika kutengeneza na kuprint pesa ya Tanzania?
-Iyoo kampuni ikoo wapi na ni private au...
Habari wana jukwaa,
Naomba kueleweshwa: Natarajia kusajili kampuni na hivyo nimefuatilia taarifa zote za msingi kuhusu hatua za kufuata ili niweze kufikia lengo. Hatua mojawapo ni ya kulipia ada ya usajili ambayo inategemea kiwango cha mtaji nilichonacho; pasipo kujali ikiwa mtaji huo ninao in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.