Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,292
8,202
Habarini za leo wakuu,

Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.

Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila kuchelewa.

Yaani siku zisidi 30.

Nipeni ushauri ndugu zangu
 
Silent ocean a.k.a simba wa bahari
 
Silent ocean ndio kimbilio lako.... usisite njoo tukupe huduma iliyotukuka karibu.
 
Habarini za leo wakuu,

Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.

Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila kuchelewa.

Yaani siku zisidi 30.

Nipeni ushauri ndugu zangu
Kuna jamaa wanaitwa Champion wako Uhuru Rd Near Chelsea Hotel, watafute
 
Habarini za leo wakuu,

Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.

Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila kuchelewa.

Yaani siku zisidi 30.

Nipeni ushauri ndugu zangu
Kama mdau wa juu alivyo kunambia huwezi kutumia meli kwa muda huo, uishangaike na promise fake.

Njia pekee inayoweza kuleta mzigo kwa muda mfupi ni Air cargo, kutumia ndege, na bei zake ni ndefu sana, mzigo wako Una kilo ngapi? Kilo moja kwa makampuni kama Aramex inaweza cost hadi 60,000

Pia unaweza moja kwa moja ukaenda mashirika ya Ndege yanayotoka China kuja Tanzania uone Rates zao zipoje.
 
hicho ndio kinachonitatiza maana rafiki zangu wengi wanasafirisha mizigo inachelewa siku zaidi ya 30
Mkuu inategemea meli iliyopo inaondoka huko tarehe gani, yani mfano ukinunua leo mzigo ukafika kweye warehouse yao kesho kutwa kama kuna mrli inaondoka ndani ya hizo siku kadhaa basi utawahi kufika.
Shida ni kucheza na meli, wengine wanakwambia kabsa mzigo wako uwahi meli inayoondoka karibuni inaondoka tarehe flani.
Mimi uwa nawatumia mpemba
 
Kama mdau wa juu alivyo kunambia huwezi kutumia meli kwa muda huo, uishangaike na promise fake.

Njia pekee inayoweza kuleta mzigo kwa muda mfupi ni Air cargo, kutumia ndege, na bei zake ni ndefu sana, mzigo wako Una kilo ngapi? Kilo moja kwa makampuni kama Aramex inaweza cost hadi 60,000

Pia unaweza moja kwa moja ukaenda mashirika ya Ndege yanayotoka China kuja Tanzania uone Rates zao zipoje.
Okay
 
Back
Top Bottom