kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam. Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda...
  2. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Tanzania Nina kampuni ya general supply ninatafuta tenda

    Habarini za asubuhi wakuu! Wadau nina kampuni ya general supply ( building materials and stationeries). Naomba mwenge connection ya kazi mbalimbali huko kwenye maofisi tusaidiane wakuu.
  3. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji App developer au kampuni ya kutengeneza App

    Habari za leo wanafamilia. Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps. Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu. Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania. Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Simu zaipongeza Serikali kufikiria upya uamuzi tozo za miamala ya simu

    Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo. Hayo yalibainishwa jijini...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimeguswa na ubunifu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nawapongeza na kuwataka waongeze ubunifu

    Jumapili ijayo, klabu za Simba na Yanga zinapambana kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho almaarufu kama Azam Conf. Cup. Mchezo huo kabambe ambao unabeba tukio kubwa la kisoka nchini utapigwa kwenye uwanja wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma. Katika kuchagiza na kusherehesha mechi hiyo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe mpate CEO asiyejishughulisha kusoma; mtaua kampuni

    Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
  7. pista

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa yeyote mwenye ofisi au kampuni

  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kampuni inaweza kuanzisha ligi ya mpira wa miguu tofauti na hii iliyo chini ya TFF?

    Habari wakuu, Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake. Mapato ya mlangoni na haki za matangazo inachukua. Yaani kampuni inaendesha kila kitu, inakuwa haiko chini ya TF wala...
  9. R

    JamiiForums Tanzania kusajili tawi la kampuni

    Habari, nina kampuni inafanya shughuli Dar es salaam, nahitaji kufungua ofisi mkoa wa Pwani naomba mwenye ufahamu hatua ninazotakiwa kufanya. asante
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kumbe gari ya kampuni?

  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

    Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje? Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Pfizer kutengeneza faida ya Shs. Trillioni 70 mwaka huu wa 2021

    Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii? Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2) ---...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kampuni ya Donald Trump yafunguliwa mashtaka ya kodi

    Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
  14. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Nitazipatia wapi sabuni za miche za poa za kampuni ya MeTL kwa bei poa?

    Nipo Mkoani Simiyu Wilaya Ya Meatu. Huwa nanua sabuni hizi kwa bei kati ya 10500,10800 au 11000. Hizi bei na karibu katika maduka yote ya jumla jumla hapa Mwanhuzi. Ningependa kudeal na ununuzi na uuzaji wa sabuni hizi peke yake kwa ujumla na kisha kuziuza mwenye rejareja huko vijijini. Ni...
  15. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania Taarifa dhidi ya uzushi unaosambaa mitandaoni kuhusu kampuni ya TTCL

    Kumekuwa na baadhi ya watu kupost picha ya Ttcl ikiwa na ujumbe unaosomeka TIA TUKUTIE.
  16. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asante mama Samia Suluhu, kampuni ya Kenya yapokezwa mkataba wa mabilioni Tanzania

    Dah! Kama tukiendelea hivi basi naona tukienda mbali sana kwenye chumi za haya mataifa yetu, kupigana tafu kiuchumi pale panapostahiki, mama ameamua kutoendekeza chuki na kuachia kila mwenye jitihada na nia nzuri afanye yake.... ====================== Kenyan companies have began reaping fruits...
  18. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

    Wakuu nahitaji mwenye kazi anisaidie! Naishi Dar. Malipo walau iwe 4,000 Au zaidi kwa siku. Elimu nilifeli form 4.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  20. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kampuni au ofisi inayofanya Marketing na Promotion

    Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma invoice na delvery note. Promotion inatakiwa ifanyike Arusha, Dar, Kilimanjaro na Manyara kama...
Back
Top Bottom