Rais Magufuli ameshinda vita dhidi ya Corona. Ndio, ameishinda kisiasa. Lakini tufahamu kua Vita dhidi ya Corona sio Vita ya kisiasa. Ninasikitika sana matabibu hawajapewa nafasi kuzungumza hali halisi ya suala hili.
SIASA IMEVAA KOTI LA KITABIBU. Nafahamu wazi kuwa jukumu la kutangaza hali...
Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine...
Wanabodi,
Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
Kama kuna mtu bado anaamini sera na misaada ya wazungu juu ya waafrika ni kwa sababu wanatupenda sana basi angalia hii video.
Huyu mzungu alikuwa ni mtu wa ndani kabisa katika serikali ya kibeberu na anasema wazi kwamba misaada waliyotoa kuanzia mwaka 1990 hadi 2000 kwa Afrika ilikuwa ni karibu...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni...
Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo.
Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza na tunavyojionea kwa sasa kutokana na huu ugonjwa wa Corona matarajio ya Rais wetu mpendwa kutaka kuifikisha nchi yetu katika uchumi bora imefifia kutokana na tatizo hili.
Japo mpaka sasa bado namuona Rais wetu akiwa bado ana matumaini hayo ya kuifikisha...
Rais Magufuli
Kuna video ndogo inazunguka mitandao ya whatsapp. Inamwonyesha Rais Magufuli akihutubia watu wasioonekana akiwa amesimama kwenye jukwaa fulani.
Kuna nembo ya Bibi na Bwana jukwaani, hilo jukwaa likiwa limepambwa kwa Bendera ya Taifa la Tanzania kulia kwake na Bendera ya Rais...
Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi.
Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka
Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo: Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications - JamiiForums
March 18, 2020
LIVE: MAFURIKO RUFIJI | WANANCHI WANAVYOMLILIA JPM
Wananchi wa Rufiji mkoani Pwani waamua kujitokeza baada ya kuona hakuna hatua za dhati za viongozi wa maeneo yao kuifahamisha serikali kuu kuchukua majukumu kuwasaidia.
Serikali ya CCM Mpya vilio hivi vya wana Rufiji...
Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe...
Nimesoma mitazamo mbali mbali ya kikao hiki lakini bado sikupata mwanga wa moja kwa moja kuhusu dhumuni kuu la kikao hiki.
Lissu ndio mwanasiasa pekee ambae anauzika kwa sasa kuliko wakati wote ule! Kama mbobezi wa sheria,kama mwanasiasa mwenye utashi na uwezo mkubwa wa kujieleza,mwenye...
Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.
Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia...
Husika na kichwa hapo juu,
Nafikiri Bunge limebaki na mkutano mmoja, na kama ndio hivyo naomba sheria ya mgombea binafsi ipelekwe Bungeni maana tumechoshwa na wananchi tunaowachagua kutuongoza kuhama vyama, wanatuharibia muda na kuturudisha nyuma.
Hivyo Mkuu wangu naomba tupeleke muswada wa...
Na Elius Ndabila
0768239284
Unaweza kumzungumza Rais Magufuli kwa lugha yoyote. Leo ninaomba nikupatie mambo tisa kama si kumi ambayo yanamuongezea Rais Magufuli wafuasi. Sifa hizi ndizo ambazo zitamuongezea kura Rais Magufuli ukilinganisha na mwaka 2015. Ambatana nami!
ELIMU, Kwa miaka yake...
Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?
Bandiko hili ni la swali moja...
CHAMA cha Saidia Wazee Tanzania (SAWATA) kimempongeza Rais John Magufuli kwa ushupavu, alioonesha wa kuamua kutekeleza ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Mto Rufi ji wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP), ambao ujenzi wake kwa sasa umefi kia asilimia 10.
Mradi huo wa kuzalisha...
Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.
Inavyoonekana baada ya kushambuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.