Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,042
20,404
Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!

Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!

Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!

Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!

Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
 
Nafasi ya chadema imechukuliwa na Nccr mageuzi hata kabla ya Uchaguzi

Makamanda wamekata tamaa wamebaki kubwata Matusi
 
Mbona ilishakufa na wamegawana fito tayari, Uchaguzi ujao ikiambulia majimbo 6 itakua ni mafanikio makubwa sanaa
 
CHADEMA haifi hata iweje kila kibaya kinachoipata CDM kinaikomaza zaidi na zaidi ccm wangejua hili wangeachana na CDM kabisa.
 
Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!

Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!

Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!

Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!

Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
Kipimo cha kujua wapo ama hawapo kinakuja October. Uhai ama ustahimilivu wa chama cha siasa hupimwa kwa uchaguzi. Chaguzi ndogo nadhani umezishuhudia na majawabu unayo na hivyo bado uchaguzi mkuu.

Mambo yanayotunza uhai wa chama kwa ujumla baada ya uchaguzi mmoja hadi mwingine:
  • Faida ya kuwa madarakani (Incumbency advantage); hii inaweza kuchukuliwa kwa ujumla au maeneo madogo madogo ambapo mwana chama husika amekuwa kiongozi, kama ameweza kukidhi matarajio ya wapiga kura (wananchi).
  • Mwendelezo wa sera na agenda zenye mashiko (viable policies and agenda) katika maslahi ya wapiga kura (wananchi), mfano; ile agenda ya kupinga ufisadi na ubadhirifu katika ofisi za umma (2010-2015)
  • Utulivu na mshikamano ndani ya chama.
Hayo na mengine ndiyo husaidia kutunza uhai wa chama mpaka kufikia uchaguzi mwingine. Kama hukufanya hayo, uchaguzi hufichua tuu ugonjwa uliokuwa ndani ya chama.

Ikumbukwe uhai wa chama unaozungumziwa sio ule wa kiumbe hai, mfano mbuzi, mtu, n.k
 
Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!

Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!

Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!

Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!

Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
Hata cuf ipo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ni mfumo huru wa kuishi na fikra huru za kufikiri, wakitaka kuiua CHADEMA ni lazima kuwauwa watanzania wote wanaojitambua.
Ingekuwa mfumo huru wa kufikiri, kisingewasakama wale wanaofikiri huru na kuamua kufanya kile wanaamini.
 
CDM haiwezi kufa hata kidogo maana MWAMBA hasiye na njaa MBOWE kawabana NZI wa kIJANI.
Combination ifuotayo inawafanya maCCM wasiishe kutumbuliwa na Jiwe:- Mbowe, Lisu, Matiko, Mdee, Bulaya, Heche, Sugu, Lema, Mnyika Haonga, na Msigwa. Majina haya yamesababisha hasara kubwa sana kwa CCM hata kupelekea CCM kutumia pesa nyingi sana kufanya manunuzi kuunga Juhudi.
 
Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!

Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!

Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!

Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!

Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
CHADEMA haitokaa ife
 
Back
Top Bottom