jpm

  1. Dua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongea na Waziri Mkuu wa India

    ''Prime Minister Shri Narendra Modi had a phone call today with His Excellency Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania. The Prime Minister warmly recalled his July 2016 visit to Dar-es-Salaam and stressed on the importance that India attaches to its...
  2. Liverpool_Jr

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma, Rais Magufuli kawasahau tena?

    Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160... • Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point • Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22% Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT"" Ila nakumbuka mwaka 2018...
  3. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

    Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM “Mkuu wa...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutakiongezea bajeti kitengo cha dawa asili kimetusaidia kupambana na Corona, dawa za kienyeji zinaponya

    “Corona imepungua Tanzania, tusidharau dawa za kienyeji tusidharau hata kidogo, uchawi tu ndio mbaya lakini miti yote iliumbwa na Mungu kwa ajili ya kutusaidia, nimetoa maelekezo kwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti yake iongezwe”-JPM “Watu wanapotengeza dawa za...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  6. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwa makini dhidi ya mbinu zozote zinazoweza kufanywa kuwaambukiza corona

    Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kuwa makini dhidi ya mbinu zozote zinazoweza kufanywa kuwaambukiza corona ama magonjwa mengine, huku wakimshukuru na kumtumaini Mwenyezi Mungu aliyemuweza wa yote Jikinge Wakinge Wengine Tokomeza Corona
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

    Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya.. Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi...
  8. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania GE2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

    Habarini wadau... Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020, Wanachofanya vyama vya upinzani ni utani nadhani na imefikia wakati wameacha kuwa serious, maana haihitaji...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde Serikali tupieni upesi ' Jicho lake Kali ' katika huu ' Usanii ' wa uwekezaji wa GSM, Sevilla na la Liga kwa Klabu ya Yanga

    Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Asante JPM kwa kutufundisha vitu viwili Imani na kuwa na Msimamo usioyumbishwa

    Watanzania tunayobahati kwa Mungu kuruhusu Magufuli kuwa Raisi wetu. Nakumbuka kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 katika nyumba za ibada kulikuwa na maombi maalum yaliyo kuwa yakifanyika kwa ajili ya kumpata rais ajae wa Tanzania baada ya uongozi wa awamu ya nne. Nipende kusema kuwa sala na maombi...
  12. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atwoli: DP Ruto should behave towards Uhuru like VP of Tanzania does towards JPM

  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Unapopingana na Rais Magufuli jiandae kuchukiwa na watanzania

    Unapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji kwamba Tanzania tuna umeme wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

    Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka. ====== UK repatriates 200 British nationals from Tanzania Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kenya inaipenda Tanzania dhaifu haiwezi kamwe ikaipenda Tanzania madhubuti chini ya Rais Magufuli

    WATANZANIA, WAKENYA WASIWASUMBUE Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha Watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa Kenya katika Uchumi wetu. Naelewa Sana...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Kauli za Corona zilizotolewa na Rais Magufuli ni porojo zisizokuwa na mantiki au za kufurahisha umati tu

    Akihojiwa na DW Jana mchambuzi nguli Generali Ulimwengu alisema kuwa data zote zilizotolewa na Rais Magufuli ni za kutiliwa shaka sana kwani zinakosa uhalali wa kisayansi. " Huwezi kukubali kuwa data hizo ni halali wakati hupimi watu na maabara zenyewe zina mashaka" Alipoulizwa kuwa Rais...
  18. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameshinda vita dhidi ya Corona

    Rais Magufuli ameshinda vita dhidi ya Corona. Ndio, ameishinda kisiasa. Lakini tufahamu kua Vita dhidi ya Corona sio Vita ya kisiasa. Ninasikitika sana matabibu hawajapewa nafasi kuzungumza hali halisi ya suala hili. SIASA IMEVAA KOTI LA KITABIBU. Nafahamu wazi kuwa jukumu la kutangaza hali...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?

    Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa? Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU! Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU! Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine...
  20. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Dongo La Jpm Lapata Jibu

    Kuwa wamefu ga makanisa na misikiti ilihali hawakuijenga ,bila shaka kuna watu aliwalenga?
Back
Top Bottom