jpm

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ndicho kitakachofanyika 2020 ikiwa ni mpango wa Rais Magufuli kubadili Katiba kuondoa ukomo wa Urais

    Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji. Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Magufuli: Changamoto sugu zimebaki historia, kila pembe ya nchi inashangilia mafanikio yake

    Mzee Mwinyi aliwahi kusema “haya yanayofanywa na JPM hatukuweza kufanya kwa miaka 30”. Ni kauli ya moyoni mwake na hakika ni kauli isiyoweza kubezwa na yeyote kwa sababu zifuatazo: ya kwanza, Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais, kauli hiyo ameitoa baada ya kuupima urais wake na huu wa JPM na kuona...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

    Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani kumekuwa na malalamiko ya chinichini miongoni mwa Watanzania kuhusu hali ya kiuchumi kuwa ngumu. Ugumu huo ulizaa msemo ‘’vyuma vimekaza’’, jambo lililokemewa vikali na Mheshimiwa wa ngazi za juu. Sasa basi, kufuatia hali ya kiuchumi kuendelea kuwa ngumu...
  5. F

    JamiiForums Tanzania TARURA Mwanza na kero ya maegesho - Rais Magufuli tusaidie

    1. Unascaniwa ikiwa haupo 2. Hakuna anayekujulisha kwa mdomo au text message 3. Unafanya jitihada kujua iwapo ulikuwa scanned, unaulizia kwa kutumia simu 152*00, usafiri, TARURA, deni jibu linakuja huna deni 4. Unakaa baada ya masaa kama 4 unajaribu tena jibu ni huna deni, unaachana na suala...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotakiwa kupendelewa na kupewa vipaumbele na Rais John Pombe Magufuli Tanzania nzima ni JWTZ (TPDF) pekee?

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu kisha anza kutiririka na kuserereka kwani mimi GENTAMYCINE tayari nimeshachoka na hii tabia ya Mheshimiwa Rais kuonyesha anawapenda sana wanajeshi wa Tanzania kuliko makundi mengine yote wakati ukweli ni kwamba kila Tasnia (kada) ya uwajibikaji nchini Tanzania...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vurumai kwenye Uchaguzi wa Mitaa, Ukimya wa JPM, Je huku si kupotoka kwa Serikali kwenye dhamana ya Umma?

    Najaribu kuuliza hilo swali. Natafakari dhamana ya serikali na viongozi wetu kwenye hii vurumai na najaribu kuiangalia wajibu wa kuwajibika(Responsibility) naona giza. Yaani kwamba zoezi la maandalizi ya uchaguzi kwa hatua za awali kabisa serikali kufanya figisu ya kutoa tarehe kwamba ilikuwa...
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

    Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo; 1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi...
  9. Aaron Arsenal

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa "MY LIFE, MY PURPOSE"

    Na PROF. RWEKAZA MUKANDALA ____________ Mtoto Benjamin William Mkapa, alifundishwa kupika chakula na mama mzazi Stephania akiwa mdogo. Alipokwenda shule hapo kijijini Lupaso, Ndanda na hatimaye St. Francis Pugu na Makerere, alifundishwa kupika, kufinyanga, kubuni na kuchambua mawazo na kuyaweka...
  10. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

    Sio tu kwamba wana madaraka makubwa ya kisiasa nchini mwao, bali wana elimu kubwa kwenye fani mbalimbali jambo linalothibithisha usemi wa Kiingereza wa “readers are leaders,” yaani viongozi ni watu wenye hulka ya kusoma sana. Hii ni orodha ya wakuu wa nchi za Afrika wenye elimu kubwa zaidi...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki...
  12. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania DC Chongolo atekeleza agizo la Rais Magufuli la kusimamia kurudishwa kwa nyumba ya bibi mwenye miaka zaidi ya 80

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo ametekeleza agizo la Rais Dk. John Pombe Magufuli la kusimamia kurudishwa kwa nyumba ya Bi Amina Muhenga mwenye miaka zaidi ya 80 aliyozurumiwa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 30 iliyopita. Rais Dk. Magufuli alitoa agizo hilo zaidi ya miezi miwili...
  13. Mindi

    JamiiForums Tanzania Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

    Rais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani. Kwenye uchaguzi wa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  15. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akata mzizi wa fitna uteuzi CAG

    BAADA ya kuwepo mjadala mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uteuzi na utenguzi wa nafasi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Rais John Magufuli amemaliza mijadala hiyo kwa kuweka bayana kuwa nafasi hiyo, haipo juu ya mamlaka ya mihimili mikuu mitatu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nadhani hili nalo likiigwa na Rais Magufuli litapendeza na litakuwa na Ufanisi mkubwa katika Kukomesha Upuuzi nchini

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekaririwa akizitaka Mahakama zihakikishe wauaji wananyongwa ili kumaliza uhalifu nchini humo. Museveni ambaye amekuwa akitoa kauli hiyo katika mikutano ya hadhara, hivi karibuni ameahidi kukabiliana na Mahakama ili kuhakikisha wauaji wananyongwa ======...
  17. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

    Wadau, President Magufuli is now 60 years old. Happy birthday to our great leader Dr. John Pombe Magufuli. May you live long
  18. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania RAIS John Magufuli: Tanzani na Afrika kwa ujumla ni tajiri na hakuna kinachoshindikana

    RAIS John Magufuli amesema Tanzani na Afrika kwa ujumla ni tajiri na hakuna kinachoshindikana isipokuwa kikubwa kinachohitajika ni matumizi mazuri ya fedha za walipa kodi. Akizungumza kwenye hafla ya mapokezi ya ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali na kuikabidhi...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  20. Midimay

    JamiiForums Tanzania Point 4 za Dambisa Moyo (Mwandishi wa Kitabu cha Dead Aid) na Uchumi wa Rais Magufuli

    Habari za Mchana wakuu! Mimi nimejijengea tabia ya kutokuwa debe tupu pale unapotaka kushauri, kukosoa au kusifia jambo lililo au linalo au litakalo fanywa na mtu, kikundi cha watu, taasisi binafsi, taasisi ya umma, serikali za mitaa au serikali kuu. Mojawapo ya kitabu nilichosoma katika...
Back
Top Bottom