Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam?
Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM
“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ”...
Ukweli ndio huu anasisitiza huyu mzee. Anasema kura inazoenda kupata Ccm zaidi ya 95% ni zawadi kwa JPM na chama cha mapinduzi.
Mfano tu kodi ilikuwa inakusanywa kwa wastani wa bil 800 lakini kwa muda wa miaka minne imefikia wastani wa tril 1.6. Hapo kwa nini wakulima na wafanyakazi wasimshukuru...
Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano.
Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
Ndg wanajukwaa Habari,
Tumekuwa tukipigia kelele na kutaka mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu, hasa ya kiuongozi.
Binafsi ni mdau mkubwa wa kutaka mabadiliko, na sijawahi kabisa kukubaliana na njia nyingi za kiuongozi za JPM.
Umekuwa utawala wa kimabavu, kuumiza watu, ajira na ugumu wa...
Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
World Bank wameikopesha Tanzania mabillioni ya shilingi na wao furaha yao ni kuona wanalipwa hela zao kama zilivyo Taasisi zingine za fedha ambazo zingependa wateja walipaji wazuri, imeelezwa kuwa tangu Rais Magufuli aingie ameonyesha nidhamu ya hali ya juu sana kwenye ulipaji wa madeni ya...
MH MAGUFULI AENDE PEKEE YAKE, AMEJIONGEZEA SIFA NYINGINE YA KUIONGOZA NCHI KUFIKIA UCHUMI WA KATI.
Na Elius Ndabila (Lali Ibaba).
0768239284
Jana nikiwa jijini kwetu, nilisoma twitter ya Mh Rais akitupongeza na kutushukuru Watanzania kwa nchi yetu kutangazwa kuwa kwenye orodha ya nchi zenye...
Nimeona amerudia zaidi ya mara mbili au tatu hivi Kuwaomba wale Watia nia hasa wa Nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na kwamba amewaruhusu kuanzia Leo hii waanze Kujipitisha huku na kule na pia kujua taratibu zingine wasiwe tu Wanachafuana na Kuumbuana kwa Matendo yao mabaya.
Kwanini Mwenyekiti...
Wenye hekima watanielewa lakini kwa kuwa vijana hampendi kutulia kama Suleiman, Daudi, na Jeremiah itakula kwenu. Hebu pitia maandiko haya:-
Warumi 13:1-4,6-7
[1]Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
[2]Hivyo...
Nimemsikiliza Nyalandu akiwajibu waandishi swali la yeye kuhusika na usafirishaji wa TWIGA wetu kwenda Uarabuni kipindi cha JK.
Akajibu swali kwa swali - akasema " Hivi unadhani ningekuwa kweli nilihusika kwa AWAMU hii ningekuwa barabarani?" Hivi makamanda wenzangu huku sio kukiri kuwa JPM ni...
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuwaletea makala hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa". Hili ni bandiko la wito kwa Watanzania tuache kufanya mizaha kwenye kila kitu kama hali ilivyo sasa ya kufanya mizaha kwenye kugombea Urais wa JMT na Zanzibar, hata watu wasiostahili, wanapeleka majina yao...
Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze kupata fursa ya kugombea Urais kupitia CCM.
Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na...
Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli
------ UPDATE----
Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Nami niungane...
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
Leo nafurahi tena kuitumia forum hii, kuwahimiza makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, tujitokeze kwa wingi wetu kumdhamini mgombea wetu wa nafasi ya urais ndugu John Pombe Joseph Magufuli, ili waTanzania, ulimwengu na vyama vya upinzani wajionee wenyewe kwa macho yao jinsi waTanzania hasa...
Vyama vya upinzani mmeona hicho kigongo kutoka kwa mshika dola?
Maneno haya aliyoyasema Rais yalipaswa yatolewe kwenye CCM campaign rally na siyo ndani ya chombo huru (at least kikatiba) kama bunge. Ana audacity ya kuonyesha upendeleo wa wazi kwa chama chake mahali ambapo si pake (bungeni) na...
Leo Rais Magufuli anavunja bunge, je urais wake na madaraka yake ya urais ya miaka mitano yanakoma?
Turejee kwenye katiba yetu ya Jamhuri wa muungano.
Ibara ya 38.
Inaeleza wazi namna ya kiti cha Urais kitavyohesabika kiko wazi, kitahesabika wazi kwa namna zilizoelezwa na kutambulika kikatiba...
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Kwa moyo wadhati kabisa naipongeza awamu ya 5 kwa kuruhusu huduma ya Freebasics kupatikana hapa nchini kwani inatuwezesha kuingia JamiiForums bure na kutumia tovuti nyingine kama Facebook, BBC Swahili, Shule direct bure kabisa.
Ingewezekana kabisa serikali kuzuia huduma hiyo, lakini kwakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.