RAIS John Magufuli amesema Tanzani na Afrika kwa ujumla ni tajiri na hakuna kinachoshindikana isipokuwa kikubwa kinachohitajika ni matumizi mazuri ya fedha za walipa kodi. Akizungumza kwenye hafla ya mapokezi ya ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali na kuikabidhi...
UPDATE:
Fuatilia LIVE coverage hapa:
Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila
==========
Heshima kwenu wakuu,
Heshima kwenu wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
Habari za Mchana wakuu!
Mimi nimejijengea tabia ya kutokuwa debe tupu pale unapotaka kushauri, kukosoa au kusifia jambo lililo au linalo au litakalo fanywa na mtu, kikundi cha watu, taasisi binafsi, taasisi ya umma, serikali za mitaa au serikali kuu.
Mojawapo ya kitabu nilichosoma katika...
Wanabodi,
Hii ni thread ya Swali,
Kati ya wakosoaji wa Rais na serikali yake, yaani wale ma Critics na wasifiaji, wakiwemo praise singers na machawa, nani wanamsaidia zaidi Rais na serikali yake?. Kwa ukosoaji unaofanyika humu JF, Je sisi JF, tunamsaidia Rais na serikali yake au...
Wanabodi,
Naomba kuanza na lile angalizo langu la siku zote, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, kwenye maovu nalaani, na kwenye mapungufu natoa ushauri wa bure.
Andiko hili ni la pongezi, hivyo kama wewe ni mmoja wa watu wa lile kundi ambalo linakereka kila rais Magufuli na awamu...
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 58 wa mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) utakao anza Jumatatu Oktoba 21 hadi 25 jijini Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.