jpm

  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amchenjia Makonda?

    Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe. Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo. Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani...
  2. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Kuwapa nafasi wagombea kutoka CHADEMA kugombea ubunge na udiwani CCM wakati sisi tulimpigania JPM wao wakiizungusha mikono na Lowassa imekaaje?

    Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwanini mtu alipwe tsh 500 million kujenga mortuary?

    "Hatuwezi KULIPA MIL 500, Hili JIPU LIMEKOMAA, Mfukuzeni, Tukutane MAHAKAMANI" - Rais Dkt John Magufuli, leo Februari 11, amezindua wilaya mpya Kigamboni, Jengo la utawala na Hospitali ya Wilaya jijini Dar. Mh. Rais ahoji kwanini mtu aingie mkataba wa ujenzi allipwe Tsh 500 million ili...
  4. Tanganyika Law Society

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Dr. Rugemeleza A.K. Nshala katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria

    #WikiYaSheria2020 TAREHE 6, FEBRUARI, 2020 UKUMBI WA KIMATAIFA WA MAKONGAMANO WA MWL. JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM Ndugu Mh. Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mh. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahimu Juma, Mh. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatutafurahi kumuona Rais Magufuli high table ya viongozi baada ya kustaafu

    Iwekwe kanuni kwamba kiongozi yeyote wa kitaifa akiharibu katika awamu yake asikaribishwe kabisa kwenye hafla za kitaifa Wala kuonekana kwenye meza kuu. Mtu kama amelitia taifa kwenye shida kwanini akaribishwe meza kuu kwenye sherehe za kitaifa. Nimatumaini yangu sitegemei kumuona Rais...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Magufuli kuhusu uchaguzi huru na haki hazitekelezeki, ni ahadi hewa kimazingira

    Hivi karibuni Rais Magufuli alipozungumza na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao pamoja na mambo mengine alitoa ahadi ya kufanyika uchaguzi huru na haki mwaka huu wa 2020 jambo lililoleta mjadala sana kwenye jamii. Hii kauli haitekelezeki kwa sasa. Hakuna mazingira ya kufanyika uchaguzi huru na...
  7. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Heko Rais Magufuli kuhamishia Serikali Makao Makuu Dodoma

    Kwa takribani wiki nzima nilikuwa makao makuu Dodoma kwa shughuli binafsi , nimebahatika kutembelea mji wa Serikali, Nzuguni, Ihumwa , Stendi Mpya, Udom, Mipango, Mbwanga nk. Nimegundua kasi ya ujenzi wa miundo mbinu ni kubwa kuliko awali na kuna ongezeko kubwa la watu ambao wanajenga nyumba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fedha za matajiri basi CCM

    CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria. Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm. Chanzo: Habari Leo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

    Hii thread ni Political Speculations tu. Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa. Time...
  10. Dam55

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Dikteta anayetoa Ruzuku kwa vyama vya siasa!

    Tanaambiwa Tanzania tuna Rais Dikteta, mnyanyasaji, anae ua upinzani, katili n.k Sasa tujiulize kitu hivi Kama kweli hayo yasemwayo je inawezekana vipi Dikteta akawa anatoa Ruzuku kwa vyama vingine vya siasa jambo ambalo ni haramu katika utawala wowote ule wa Kidikteta duniani. Vyama vya...
  11. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

    Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe. Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji. Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma...
  12. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  13. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya utalii kwenye kisiwa cha Rubondo

  14. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Lukuvi unakwama wapi Rais Magufuli akusaidie?

    Miongoni mwa mawaziri wachapakazi katika serikali ya awamu ya tano, William Lukuvi hana upinzani. Hata kuna wakati Fulani alifikiriwa kustahili kuwa mrithi wa Magufuli au hata uwaziri mkuu. Katika Wizara ya Ardhi amesaidia kutatua matatizl na kero nyingi sana mfano: Migogoro ya ardhi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Heri ya Krismass Mh. Rais wetu Rais Magufuli

    Napenda kuungana na Watanzania na wanadamu wengine wote Rais wetu Mheshimiwa John Joseph Magufuli katika Kumtakia Heri ya Krismasi, kwa dhati kabisa, tunapaswa kumwombea afya njema, kumtakia Heri na Kumuunga mkono katika kuliletea Taifa letu maendeleo. Uongozi wake dhabiti, ujasiri na...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

    DK. MIGUNA MIGUNA WA KENYA AMVAA JPM KUKAMATWA KWA TITO MAGOTI. Mwanasiasa na Mwanasheria machachari nchini Kenya, Dk. Miguna Miguna amemtaka Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli kumwachilia huru Ofisa wa Kitengo cha Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), Tito...
  17. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Kagasheki awaasa kiaina Watanzania kuhusu kauli ya ukomo wa Urais kwa kutumia mfano Paul Kagame 2012

    Ni ujumbe unaoonekana wa kawaida kabisa kutoka kwa Dr Kagasheki. But timing yake inaufanya ujumbe huu ubebe uzito mkubwa na wa kipekee. Ni ujumbe kwa Watanzania kuwa tusiamini kila kitu kitokacho vinywani mwa wanasiasa. "Tafakarini kwa makini Watanzania" that seems to be the bold message from...
  18. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Why President Magufuli should be a One term President-Untainted Legacy

    We are now coming to the end of the fourth year of the Rule of JPM which has been marred with controversies scandals and pending issues.For the past 4 years we have witnessed probably the largest spending by the government on major infrastructures in various regions.All these projects have the...
  19. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

    Kuna hujuma dhidi ya jitihada za Serikali zinazofanywa na baadhi ya wasioitakia mema Tanzania zikilenga kufifisha jitihada zetu za kujikomboa, kiuchumi kwa maslahi yao binafsi, kamwe hawataki kuona tunadhibiti rasilimali walizokuwa wakivuna na kusafirisha bila kuulizwa. Wanaotuhujumu...
Back
Top Bottom