Msaada jinsi ya Kusolve/kufix "URL is on Google, but has issues"

Apr 27, 2019
14
45
Habarini wanajukwaa, Mimi ni blogger na nahitaji Msaada wenu mablogers wenzang wenye ujuz zaidi na Google search console. Ninapokea ujumbe unaosema URL is on Google, but has issues Kila ninapofanya URL inspection. Na toka tatzo hili lianze traffic ya blog yangu imeshuka kwa Zaid ya asilimia 50%. Naomben Msaada plz
IMG_20200527_195436_234.jpg

 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,356
2,000
Kuna core update ya algorithm ilifanywa na google huu mwezi sikilizia labda mambo yanaweza rudi kama kawaida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom