Kwa wenye kupenda kuwa na nywele ndefu.njooni tujuzane jinsi ya kuzitunza

Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,065
2,000
Habari wapendwa.
Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu.

Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na wengine wajifunze

Kwa mimi nywele zangu zina miezi mitatu tangu nianze kusuka, kwa sasa nabana na mchicha unabaki mrefu tu. Natumia dawa ya dark &love ya box, natumia stiming yoyote yenye asali.

Huwa nalitach pindi ninapoona nywele zangu zimeotea,nikilitach nakata ncha.
Kila j.pili huwa naosha na kizifanyia stiming, zinarefuka kwa kweli.

Tunaomba nawe utupe njia unazotumia kutunza nywele zako tujifunze.

Amani iwe nanyi...
 
Jimena

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
24,575
2,000
Nywele zako ni aina gani?? Maana mafuta na utunzaji wa nywele unategemeana na aina ya nywele zako, mfano mimi mwenye type 4c coils siwezi kupaka mafuta anayopakaa mtu mwenye type 3a, b, wala c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
1,340
2,000
Oraah Sisters,,Mimi ni chalii mwenye asili ya msomali nywele zangu ni laini sana alaf nimezifuga ni ndefu kinyama,,nyie mamanzi najua mnajua aina za mafuta ya kuzifanya zisimame nikizichana,,msaada please.
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
17,080
2,000
Habari wapendwa.
Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu.

Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na wengine wajifunze

Kwa mimi nywele zangu zina miezi mitatu tangu nianze kusuka, kwa sasa nabana na mchicha unabaki mrefu tu. Natumia dawa ya dark &love ya box, natumia stiming yoyote yenye asali.

Huwa nalitach pindi ninapoona nywele zangu zimeotea,nikilitach nakata ncha.
Kila j.pili huwa naosha na kizifanyia stiming, zinarefuka kwa kweli.

Tunaomba nawe utupe njia unazotumia kutunza nywele zako tujifunze.

Amani iwe nanyi...
Mimi dawa siweki kabisa. Nabana mchicha na ninatumia products za Cantu za natural hair. Wanakati mwingine napaka castor oil au Alovela oil.
 
Top Bottom