jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza pesa kutumia Mobile App

    Habari za leo wandugu! napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu. kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

    Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitangaza kwa mabenki yetu kama NMB, CRDB, TPC, NBC, DTB, ABSA bank au makampuni kupitia shirika la Posta huku ukivuna faida ya mamilioni..

    Kwanza..ni kuanzisha shindano la urafiki mwema baina ya wanafunzi la kuandika na kutumiana barua kati ya shule moja na nyingine ndani ya mkoa kwa kutumia bahasha na stempu zilizo na logo au chapa ya kampuni zitazouzwa kwa wanafunzi hao kwa bei rahisi.hapo ni mwanzo wa kujitangaza. Pili...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua idadi ya mbao zinazohitajika kwaajili ya kuezeka nyumba

    Hi guys, Hello everyone, I'm Ellyskywilly. As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing. So for that case, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I've...
  5. JamiiForums Tanzania Nipeni mawazo jinsi ya kuendesha biashara

    Mambo vipi wadau. Natumai mko poa na mihangaiko. Anyways moja kwa moja kwenye mada. Nilikuja hapa miezi iliopita kuomba ushauri jinsi ya ku deal na wakopaji maana walifikia kunifilisi kabisa ikabidi nitafute mtaji nianze upya. Nashukuru sana kwa michango yenu niliweza kudhibiti kukopesha na...
  6. JamiiForums Tanzania Ilipobainika kuwa Mfalme ana matatizo ya afya ya ubongo shida ilikuwa jinsi ya kumfahamisha

    Katika kijiji cha Mtakuja walimpata Mfalme ambae alikuwa kipenzi cha watu. Watu walimpenda Mfalme na Mfalme aliwapenda raia wake. Mfalme alirithi ufalme kutoka kwa baba yake, na alikuwa bado na nguvu zake. Raia walimtegemea jemedari huyu kuwaongoza kwa muda mrefu. Matatizo yalianza katika...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Tunavyomsaidia Mjasiriamali atimize ndoto yake

    Habari za wakati huu; Wengi huwa wananiuliza kwa nini huwa napenda kumwambia mtu aje PM pale anapohitaji ushauri wa kibiashara na uwekezaji.Ni kwa sababu hakuna solution ambayo inawatosha watu wote katika ujasiriamali na ushauri.Ili kuthibitisha leo nitaweka hapa kwa uchache kile ambacho huwa...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kupata AVN kwa mwanafunzi aliyemaliza diploma ili ajiunge na degree

    Inasikitisha sana wakuu
  9. JamiiForums Tanzania ENGLISH TUTORIAL: Jifunze aina za sentensi na jinsi ya kuziunda kwa lugha ya kingereza

    ENGLISH TUTORIAL Mate, tatizo la kuelewa kuandika na kuongea na lugha ya kingereza ni suala mtumbuka. Wengi wetu hasa tuliopita shule za uswahilini bado lugha yetu haipo sawa. Hivyo basi ningependa kushea nanyi module hii japo kwa uchache. Nitazungumzia zaidi upande wa sentesi. NB. Ili...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Vifurushi vilivyopo: - Tsh 10,000 lite - Tsh 18,000 pure - Tsh 23,000 plus - Tsh 28,000 play Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo! Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000 na unataka kuongezea hela ili upate kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 LAZIMA iwe umelipia Tsh 10,000...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Jinsi ya kufanya Conference call watu zaidi ya 15

    Habari wakuu, Ninaomba kwa mwenye kujua kama inawezekana kufanya Conference call ya watu 15 na kuendelea.Nimejaribu inaishia watu 5 tu, Msaada tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuandaa ndizi aina ya Mkono wa Tembo

    Nimekata hizi ndizi kubwa kubwa Sana, hapa kwetu zinaitwa mkono wa tembo, sijawahi kuzila hata siku moja. Naomba wataalamu wabobezi wa Aina mbalimbali ya kuziandaa ndizi hizi kwa ajili ya kula mnielimishe namna ya kuziandaa. Nimetumia neno kuandaa kwa sababu Kuna Aina mbalimbali ya kuzipika...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara yangu changa. Naomba kuelekezwa jinsi ya kuwapata, kuwatumia na kuwalipa vijana wa kusambaza bidhaa

    Habari wakuu. Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate vijana wanisambazie kwa kuanzia Dar es salaam na maeneo yake. Wazoefu nijibuni baadhi ya dukuduku...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

    Wakuu Igweeeee! Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje? Au fikiria hivi, umefungiwa ndani...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna jinsi ya kuzuia ufa wa kioo cha gari au kuziba?

    Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka. Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku unlock simu

    Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua jinsi ya kupata TIN Number online

    Naombeni msaada wenu mwenye kujua jinsi ya kupata TIN number online wakuu.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua shares za makampuni ya nje ya nchi

    Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna uwezekano wa mimi mtanzania kununua shares za kampuni yoyote ya nje ya nchi, hasa Ulaya. Naomba kama kuna aliyeweza kufanya hivyo anisaidie kunipa mawazo.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufanya maombi Ardhi university

    Mbna hawanipi payment fee .. wanasema application pending
  20. JamiiForums Tanzania How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World

    Jina la Kitabu.How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World Jina la Mwandishi.Frank Accuf Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi: Mwandishi anasema kitabu hiki ni mwongozo kwa yeyote ambaye angependa kufanya majadiliano(Negotitions)na watu mbalimbali au taasisi mbalimbali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…