Katika nchi yetu Jeshi la Polisi ni Taasisi kubwa ambayo imefanyakazi nyingi kubwa zilizolenga kulinda Usalama wa Raia na Mali zao. Mmekomesha Ujambazi maarufu kwa MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE.
Mmekomesha Uvamizi wa majambazi benki. Mmekomesha vitendo vya Uvamizi wa Vituo vya Polisi...