jeshi

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003? Mtu anawezaje kuwa Major Gerenal ndani ya miaka 17 tu ya utumishi...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania DC Sabaya: Wanaolitumikia Jeshi la Polisi nao ni binadamu na kuna mahali huwa wanafika wanakasirika. Msivunje sheria halafu mnataka huruma nyepesi

    Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema hakuna Askari aliyemzuia Mbowe kufanya kampeni na kwamba hata video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha yeye na Askari wakibishana ni kwa sababu alivunja utaratibu kwa kutaka kufanya kampeni eneo ambalo hakutakiwa kinyume na kanuni za Tume. Kauli...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini IGP Sirro na Jeshi la Polisi hawawashughulikii Wasimamizi wanaokiuka Sheria na kuvuruga Kampeni na Uchaguzi?

    ..IGP Sirro na jeshi la Polisi wamekuwa mstari wa mbele kukemea wanasiasa wanatoa kauli ambazo ameziita za kichochezi, na za shari. ..Kauli ambazo IGP amekuwa akizikemea mara nyingi huelekezwa kwa Nec na Wasimamizi wa uchaguzi. ..Je, tatizo ni wanasiasa wakorofi na washari, au tatizo ni...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi Zanzibar: Kura ya mapema (Oktoba 27) haitahusisha Askari wote

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji Mkuu mstaafu Hamid Mahmoud amesema kura ya mapema haitawahusisha wapiganaji wote wa vyombo vya ulinzi ikiwemo majeshi na Polisi, kama inavyodaiwa na watu wanaojaribu kupotosha ukweli na madhumuni ya kura hiyo. Alisema hayo wakati...
  5. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro, je unasemaje kuhusu hawa askari wako? Je, kwa Tundu Lissu kuwafokea hawa askari huoni anatimiza wajibu wake wa Kikatiba?

    Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM? Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda? Je, kitendo cha...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu

    Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu. Niko naelekea Kituo kikuu cha Polisi Arusha. MSIOGOPE
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka...
  8. shululu

    JamiiForums Tanzania Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

    Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam ====== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
  9. B

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI

    30 September 2020 WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM Mpya kinachotumia Tume ya Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na vyombo vingine vya dola kujaribu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na IGP Sirro waheshimu viongozi wa Chadema akiwemo Tundu Lissu. Kwanini wanadhalilishwa kana kwamba wao ni watu baki ktk nchi yao?

    Je, jeshi la Polisi wanaheshimu viongozi wa Chadema? Je, IGP Sirro anawaheshimu viongozi wa Chadema; anamheshimu Tundu Lissu? Tatizo nililoliona ni jeshi la polisi kutokuheshimu viongozi wa Chadema. Kutokana na matukio ya Polisi kudhalilisha viongozi wa Chadema kuwa mengi, naamini wapo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na Serikali ya Tanzania hii siyo sawa

    Mgombea Mwenza wa CHADEMA anapita njiani, anakutana na wananchi, wanataka kumsalimia. Polisi walio kwenye msafara wanatoa mabomu na kuanza kuwapiga wananchi. Lakini wakati hayo yanafanyika mgombea wa CCM yeye akipita sehemu akakuta wananchi njiani, anaongea nao tena masuala ya kuomba kura...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 109 kwa nguvu ya kijeshi duniani

    TANZANIA NI NCHI YA 109 KWA UBORA WA KIJESHI DUNIANI Jarida la kimataifa la 'Firepower' ambalo linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka, limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi...
  13. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alipongeza jeshi la polisi kwa kutenda haki katika mikutano yake ya kampeni

    Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema jeshi la polisi limefanya kazi nzuri katika maeneo yote aliyopita na kufanya kampeni. Lisu anasema polisi wasisingiziwe kwa lolote kwa sababu wanafanya kazi yao vizuri. Source Ayo tv. Maendeleo hayana vyama!
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Chama cha ACT-Wazalendo chalitaka Jeshi la Polisi kuwaachia Maafisa wake watatu waliokamatwa jana

    Chama hicho kimelitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani endapo kuna kosa au kuwaachia bila masharti maafisa wake watatu waliokamatwa jana. Arodia Peter (Afisa Habari), Dotto Rangimoto (Afisa Habari Msaidizi) na Dahlia Majid (Afisa Uchaguzi) walikamatwa jana katika Ofisi za ACT-Wazalendo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama Amiri Jeshi Mkuu, tuambie hawa "wasiojulikana" ni akina nani tutakupa kura, mengine tutakusamehe

    Wakuu leo nimekuja na kibwagizo kipya. Kwanza tunaweza kukiri kuwa katika mambo ambayo ni makosa na ambayo hayawezi kuvumilika hata mbele za mwenyewezi Mungu ni kitendo cha mwanadamu kutoa uhai wa mwanadamu mwingine kwa sababu yoyote ile. Kisa cha Kaini kumuua Abel ni mfano tosha kwa sisi...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika maharage kwa njia rahisi bila kutumia gharama kubwa

    Wadau wanao hitaji kujua jinsi ya kupika maharage ---- Jinsi ya kupika maharage Kuna njia mbali mbali za kupika maharage lakini kuna moja haitambuliki sana na watu wengi ingawa inahitajika mpishi awe na subira pale anapotumia mbinu hiyo. Unachohitaji kuwa nacho ni 'Chupa ya chai au...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi...
  19. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lamshikilia kijana wa miaka 32 kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Bariki Kajuni mwenye miaka 32 ambaye ni mkazi wa Makambako, Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kosa la mauaji ya Ansalemo Stawi Kisheria. Ansalemo Stawi Kisheria alifariki dunia akiwa njiani kupelekwa Zahanati ya Isangawana kwa matibabu baada ya...
  20. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Upinzani Mali kukataa Serikali ya mpito inayoungwa mkono na Jeshi

    Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi. Serikali ya kijeshi iliunga mkono mkataba wa serikali ya mpito ya miezi 18 iliyo afikiwa Jumamosi...
Back
Top Bottom