Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru .
Hakuna...
Kamanda Sirro, kuna clip inatrend kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha jeshi lako la polisi likivamia mkutano halali kabisa wa chama cha ACT wazalendo.
Mkutano wao huo wa amani na wa ndani ulikuwa ungali ukiendelea huku wananchi wakiwa wanaimba nyimbo kumkaribisha kiongozi wao wa chama...
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama
#hatuwezikurudinyuma.
Jeshi la Polisi linafanya upuuzi kukamata viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani na kuacha wale wa chama tawala na mawakala wao.
Kitendo hiki kinadhihirisha jinsi vyombo vya dola vinavyotumika kwa maslahi ya kuhakikisha chama tawala kinapata kwa ukamilifu kile kinachokitaka kwa nguvu. Kwenye...
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa...
Mchungaji Msigwa alipata kusikika akitoa kauli nzito ambazo zingeweza kulimega taifa vipande vipande na hata kusababisha maandamano makubwa katika nchi yetu kama yele yaliyofanyika kule Marekani kwa kupigwa na kufariki dunia kwa Geoge Floyd.
Msigwa alipata kusikika kupitia mitandao ya kijamii...
Jeshi la polisi limemfukuza kazi askari wake mwenye namba E 8905 Koplo, Anthony Francis wa Kituo cha Polisi Kisarawe aliyekamatwa akisafirisha dawa za kulevya aina ya bangi.
Fracis alikutwa akisafirisha dawa hizo kiasi cha kilogramu 76 katika eneo la Nanenane, Manispaa ya Morogoro ...
Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.
WASIFU
Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni Waziri wa...
Habari za siku nyingi JF
Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania
Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu
Kwa sasa hali imebadilika sana...
CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.
Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na...
USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
Wakati wa ziara iliyoleta utata.
Mkuu wa Majeshi akiomba radhi...
====
Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump
Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
Na nasikia Maswali ya 'Mkaguzi' Mkuu 'aliyewakagua' jana yalikuwa ni Kuangalia kama Wanyama hao wana uwezo wa kutoka Baru (Kukimbia) hasa waonapo 'Adui' na pia kuhakikisha kama Farasi wana uwezo wa kupita 'Vichochoroni' sana na kukatisha Mitaa endapo 'Maadui' watakuwa wanaikatisha hiyo Mitaa...
🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi
#FreeMartinMaranja
Tukirejea ktk kumbukumbu ya tarehe 14 November 2019, Siku ya Alhamisi, Idriss Sultan akiwa mbele ya Waandishi wa Habari alimuomba Msamaha Rais
Magufuli kwa kuweka picha mbili tofauti zilizoleta taswira mbaya kwa Taasisi ya Urais wa Tanzania (JMT Presidency) na Rais Mwenyewe Binafsi. Idris...
Nimepewa taarifa na insider/friend in the US Army kwamba Jeshi la Marekani lina utafiti unaoendelea Tanzania chini ya mwavuli wa HIV na Malaria.
Nimepewa mpaka na link, I have read it,ni kweli Jeshi la Marekani lina utafiti unao endelea Tanzania.Read the following.Nime-copy na ku-paste...
"Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump
•
“Asilimia 80 ya...
The governor of Minnesota called up the state’s entire national guard Saturday for the first time since World War II, awaiting what could be a fifth night of violent protests brought about by the death of an African American man in police custody
For the past four nights, protesting has led to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.