jeshi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  4. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

    Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita, Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali. Je, bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa...
  5. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kikongwe wa miaka 91 adai hana mpango wa kustaafu jeshi la polisi

    Katika hali ya kawaida ni vigumu sana kusikia mtu mwenye umri wa miaka 91 bado yupo kazini na wala hana mpango wa kustaafu, na kitu gani kinakuja haraka haraka kichwani mwako unaposikia kuwa yupo na hataki hata kusikia hilo neno kustaafu. Afisa mmoja wa polisi, Arkansas nchini Marekani...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  7. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Hayati Magufuli (Jeshi), karibu Rais Samia Suluhu (Iron Lady)

    KWAHERI HAYATI MAGUFULI (JESHI),KARIBU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN(IRON LADY) Taifa letu teule lipo katika wakati mgumu sana wamaombolezo na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wetu aliyekuwa rais wa tano jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli. Kwa upendo Wa Mungu juu ya...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

    Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to emphasize that the army will obey President @samia_suluhu_hassan Kuna haja gani kusisitiza maana sisi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri kwenye kuaga mwili wa Hayati Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

    Kutoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari viongozi wa kiserikali na Chama cha Mapinduzi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Mwanza na mikoa jirani wameshaanza kuingia kwenye uwanja huu tayari kumuaga mpendwa wetu Dk John Magufuli. Mageti ya uwanja wa CCM Kirumba yamefunguliwa toka saa...
  10. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ni Amir jeshi Mkuu au Amirat Jeshi Mkuu?

    Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi. Kwa kiarabu kiongozi wa kiume huitwa Amir na wakike huitwa Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat? Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao. Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lasitisha vibali vyote vya mbio, jogging, maonesho na maandamano kwa sababu za kiusalama

    Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon. Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama. Chanzo: ITV...
  14. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Tujaribu dhana ya kujiajiri kupitia kilimo kwa wahitimu wetu

    Hello JF, Msinicheke ila leo nimewaza kwa nini sisi wana JF tusijaribu hii nadharia inayosemwa kila siku watu wajiajiri kupitia kilimo? Najua JF tulishawahi kuwa na kitu kama hiki ila ilikua kwa baadhi ya watu, sijui ilipata changamoto gani? Graduates ni wengi sana. Arable land ni kubwa tu...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Myanmar: Tovuti za jeshi zadukuliwa

    Wadukuzi wa Myanmar wamedukua tovuti za serikali baada ya Internet kuzimwa kwa siku ya nne mfululizo. Tovuti zilizodukuliwa ni pamoja na Tovuti ya Jeshi ya Kufanyia Propaganda, wavuti ya kituo cha Matangazo cha Taifa, tovuti ya mamlaka ya bandari na ya mamlaka ya chakula na Dawa. Kundi...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

    Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi. Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya? Ni mara...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi laidhibiti Myanmar baada ya kumshikilia Aung San Suu Kyi

    Jeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti taifa hilo baada ya kumuweka kizuizini kiongozi wa taifa hilo Aung San Suu Kyi pamoja na wanasiasa wengine mapema hii leo. Baada ya kumkamata kiongozi huyo kwa saa kadhaa, televisheni ya taifa imetangaza kuwa katika hali ya dharura kwa muda wa mwaka...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Marekani: Waliobadili jinsia waondolewa marufuku ya kujiunga na Jeshi iliyowekwa na Donald Trump

    Rais Joe Biden ameondoa marufuku iliyowekwa na Donald Trump ya kuwapiga marufuku watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi. Marufuku hiyo ilitangazwa na Bw. Trump mwaka wake wa kwanza akiwa rais wa Marekani. ''Watumishi waliobadili jinsia hawatakabiliwa na uwezekano wa kuondolewa au kutengwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Masuala ya kigeni Ethiopia auawa na Jeshi

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kwamba limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF). Bw.Seyum, ambaye alihudumu kama waziri wa mambo ya nje wa kutoka mwaka 1991 hadi 2010, aliuawa pamoja na wanachama...
  20. Ack

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Back
Top Bottom