Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshijeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini
Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
MAPOKEZI YA TUNDU LISSU: JESHI LA POLISI NA VIONGOZI WA CHADEMA WANA WAJIBU WA KUTUNZA UTULIVU
Tarehe 6 Novemba 2005 nilirejea nchini na British Airways kutokea Heathrow, London, Uingereza nikiwa na mke wangu na mtoto wetu wa kiume baada ya kuishi nje ya nchi kwa miaka kadhaa. Huku Tanzania...
Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020.
Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
Watanzania,mnakumbuka serikali nzima na wananchi walihimizwa kufika uwanja wa ndege kupokea ndege za serikali kila zilipokuwa zinawasili?
Sasa kama watu waliweza kukusanyika kwa wingi kupokea ndege tena wakiongozwa na Raisi wa nchi,iweje leo iwe kosa kumpokea binadamu mwenzao?
Ndio maana kila...
Uzoefu unaonesha kama africa haitakuwa moja itaendelea kusambaratihswa na wazungu mpaka patakosekana mahali salama pa mwafrica kuishi, mf tunaona/kusoma na news huko Mali,Niger..au nchi za sahel yaa africa ya kati...mfaransa anafadhili magaid wanalipua kambi za jeshi ...aman inakosekana mpaka...
Urusi yatarajia kupunguza matumizi kwa jeshi lao kwa 5% kwa mwaka 2021 hadi 2023 kutokana na kupungua kwa bei za mafuta na janga la COVID19 lilivyoathiri uchumi wa nchi hiyo
Kwa takwimu za mwaka 2019 Urusi ilikuwa ni nchi ya nne kwa matumizi makubwa ya jeshi. Pesa iliyokuwa ikitumika ilikuwa ni...
Katibu mkuu wa shura ya maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa ponda akamatwa na polisi hivi punde
Amekamatwa akiwa anatoka Msikitini sala ya Alasiri saa kumi na Moja maeneo ya Ilala. Alivyotoka Msikitini anataka kuingia kwenye gari yake ndo Wakamkamata.
Kwa sasa wapo wanasheria wanafuatilia...
Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu
Tumkatae...
Wadau na wazalendo wa Taifa ili bila shaka tunajua maana ya Uzalendo. Naomba kwa machache tu mimi kama mzalendo mmojawapo nitumie fursa hii adhimu na adimu kulipongeza jeshi letu la Magereza, wafungwa wetu pamoja na Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kulipongeza jeshi la Magereza na Wafungwa wetu sina...
Katika nchi yetu Jeshi la Polisi ni Taasisi kubwa ambayo imefanyakazi nyingi kubwa zilizolenga kulinda Usalama wa Raia na Mali zao. Mmekomesha Ujambazi maarufu kwa MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE.
Mmekomesha Uvamizi wa majambazi benki. Mmekomesha vitendo vya Uvamizi wa Vituo vya Polisi...
Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
1: Kifungu cha 31: Polisi au watekelezaji wa sheria wanaweza kutoa amri inayoruhusu kuingia, kupekua, au kutwaa vifaa na mifumo ya kompyuta, na kutwaa data au taarifa zilizohifadhiwa kwenye kompyuta
Wanaweza kufanya hivyo iwapo watajiridhisha kwamba kuna sababu za msingi kuamini kwamba mfumo...
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao...
Habari!
Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu.
Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi...
Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV
Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu.
Maendeleo hayana vyama
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti.
Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza.
Mamlaka ya Polisi...
Huawei ilikua inakuja vizuri sana kwa miaka 3 iliyopita. Ghafla bin vuu mwaka jana ikawekwa kwenye black list ya serikali ya Marekani ikaanza kupambana na vikwazo.
Sasa Huawei imeanza kupoteza hata ile miradi na mikataba iliyokua imepata ya kufunga mitambo ya 5G. Uingereza iliipa Huawei ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.