Naomba ushauri kuhusu Course ya jeshi

Majoajosh

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
276
186
Wakuu habari za asubuhi. Naomba msaada wa ushauri.

Nina binti yangu yuko form four mwaka huu, ndo wanafanya mitihani, anasoma science na arts pia, sasa yeye anatamani kuwa mwanajeshi na Mimi sina uelewa na nini kifanyike ili ndoto yake itimie.

Kwenye self forms wanazotakiwa kujaza ajaze nini? Form five au chuo? Na kama akijaza form five achague combination gani ambayo itamfikisha aendako?

Naombeni msaada wadau km kuna mwenye uelewa katika hili.

Shukrani.
 
Kwa A level ajaze Combination za Sayansi na Art walau moja tu.Kwa Vyuo ajaze Afya km ana hobby na afya;Lkn jeshi day!,isije ukawa unawapelekea jamaa chakula

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Siwez mpeleka mtoto wangu wa kike kwenye Military courses bora nimnunulie cherehani awe anaziba viraka.
Kuna kazi zingne sio type nzuri kwa gender ya ke sema basi tu tuna force wanao jua haya mambo watakuwa wana nielewa vizuri.
Najitahidi kweli kumshawishi abadilishe mawazo Ila bado hanielewi
 
Duuuu,haya bana
Ni afadhali umjenge kielimu aendelee kusoma ili aje kuwa bidhaa adimu, kwani thamani ya elimu yake bado atakuwa nayo, kiasi kwamba wakihitajika wenye elimu unaweza kumsimamia kuliko kumruhusu aende huko akiwa bado na elimu ya chini. Hatukatai jinsia ya kike kuliwa ni lazima lakini kibaya ni kuja kuliwa kwa pupa!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Kweli boss,shukrani
 
Back
Top Bottom