jeshi

  1. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

    Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi. Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya? Ni mara...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi laidhibiti Myanmar baada ya kumshikilia Aung San Suu Kyi

    Jeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti taifa hilo baada ya kumuweka kizuizini kiongozi wa taifa hilo Aung San Suu Kyi pamoja na wanasiasa wengine mapema hii leo. Baada ya kumkamata kiongozi huyo kwa saa kadhaa, televisheni ya taifa imetangaza kuwa katika hali ya dharura kwa muda wa mwaka...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Marekani: Waliobadili jinsia waondolewa marufuku ya kujiunga na Jeshi iliyowekwa na Donald Trump

    Rais Joe Biden ameondoa marufuku iliyowekwa na Donald Trump ya kuwapiga marufuku watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi. Marufuku hiyo ilitangazwa na Bw. Trump mwaka wake wa kwanza akiwa rais wa Marekani. ''Watumishi waliobadili jinsia hawatakabiliwa na uwezekano wa kuondolewa au kutengwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Masuala ya kigeni Ethiopia auawa na Jeshi

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kwamba limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF). Bw.Seyum, ambaye alihudumu kama waziri wa mambo ya nje wa kutoka mwaka 1991 hadi 2010, aliuawa pamoja na wanachama...
  5. Ack

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
  6. May Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

    Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani? Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama aliomba radhi Jeshi la Polisi, asema alihadaiwa kuhusu Muuza Chips aliyekutwa amefariki dunia

    Mchungaji Kimaro ameliomba radhi jeshi la polisi baada ya kutoa taarifa zisizo sahihi kufuatia kifo cha muimba kwaya wa Kanisa hilo. Kimaro amesema muimba kwaya huyo aitwaye Yusuph aliyekuwa anauza chips pale makumbusho alimdanganya kuwa alitekwa lakini polisi wamebaini kuwa Yusuph hakuwai...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la KDF laikarabati meli ya M.V Uhuru

    Mwendo ni ule ule ===== Engineers work on MV Uhuru after it had stalled for approximately 13 years. THE STANDARD The Kenya Defence Forces (KDF) has unveiled a refurbished ship that it revived at a cost of Ksh250 million in the lakeside city of Kisumu. A video shared by KDF on Sunday...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu jeshi

    Wakuu, Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF. Family iko kooni...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la KDF laongeza kasi kwenye ukarabati wa reli ya Nakuru-Kisumu

    Hakuna mchezo, kazi zinafanyika kwa kasi ya kufa mtu. ======= The rehabilitation of the old Nakuru-Kisumu Railway line is taking shape with the project expected to be completed in April 2021. Kisumu Governor Anyang' Nyong'o in a press release to media houses on Sunday, January 10 revealed...
  11. Sosoma Jr

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Jeshi, Ufundi Magari na Sabato

    Kijana mwenye umri wa miaka kumi aliketi ametulia akisikiliza kwa makini hotuba yake ya kwanza katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Mhubiri alieleza kuhusu mfanyakazi wa Posta ambaye alipokea barua inayoenda kwa Santa Claus (Babu Krismasi). Kijana mdogo alikuwa ameandika barua kwa Babu...
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya kuuawa kwa Jenerali Qasem Soleimani: Iran yaapa kulipiza kisasi, Marekani yajihami

    Umetimia mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Kiongozi wa ngazi ya juu wa Jeshi la Iran, Brigedia Jenerali Qasem Soleimani, aliyeuawa kwa shambulio la ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani alfajiri ya Januari 3, 2020 mjini Baghdad nchini Iraq, akiwa na Abu Mahdi al-Muhandis, kiongozi wa kundi la Kata'ib...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu

    Huyu mzee tulimuonya tangu mapema sana kwamba miaka aliyoingoza Uganda inatosha , mwaka ujao asigombee tena , kwa bahati mbaya sana akapuuza. Akaanza Juhudi za kishetani za kupunguza miaka yake kwa kushrikiana na Maaskofu njaa , eti umri wake ulikosewa ! baadaye akaamua kuondoa vifungu vya...
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu juu ya hiki kifaa cha jeshi

    Naomba kujua wajuzi mnijuze haya madude yanaitwaje na yanafanya vipi kazi. Ni manual au automat? Je, kwa nchi yetu tunayo? Ni mangapi yako wapi. Elimu haina kikomo
  15. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara. Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu. Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke. Marehemu hao wameacha...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi binafsi: Tunapigwa kiujanja kwa kuikabidhi miradi chini ya Jeshi, haikidhi Vigezo kabisa

    Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji 1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln? 2. Ujenzi wa Daraja la Selander 3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Siku ya UKIMWI Duniani: Ushuhuda - Asante Hospitali ya Jeshi Lugalo

    Wakati mwingine ukitazama nyuma ni lazima utashukuru Mungu kwa kupita kwenye tanuru la giza nene! Huu mkasa ni wa kweli kabisa na naishukuru sana Hospitali ya Jeshi Lugalo kwa kuokoa maisha ya ndugu yangu ambaye aliponea chupuchupu kupoteza maisha. Mkasa umetokea muda kidogo. Ndugu yangu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Course ya jeshi

    Wakuu habari za asubuhi. Naomba msaada wa ushauri. Nina binti yangu yuko form four mwaka huu, ndo wanafanya mitihani, anasoma science na arts pia, sasa yeye anatamani kuwa mwanajeshi na Mimi sina uelewa na nini kifanyike ili ndoto yake itimie. Kwenye self forms wanazotakiwa kujaza ajaze nini...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi limewaua waliowahi kuwa Askari wake katika tukio la Ujambazi

Back
Top Bottom