Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono 'Majini' na kuwapa Mimba na Kuwaambukiza VVU / UKIMWI?

Nilianza Kulishuhudia Kawe Beach kisha baadae nikaliona tena Coco Beach nikadhani labda ni Wao tu lakini hivi karibuni nimelishuhudia tena Kunduchi Beach na hivi ninavyoandika nimetoka Kulishuhudia Ununio Beach. Kama Kazi ya Kukabiliana nao hawa 'Wahuni' imewashinda hebu turuhusuni basi Sisi Raia akina GENTAMYCINE tumalizane nao 'Kimafia' zaidi na mtawakuta 'Mochwari' huko.

Inakera, inaudhi na haivumiliki tena. Wana JamiiForums wengi tu hapa wameshaliibua hili na nilidhani ilikuwa ni wakati 'muafaka' kabisa Kwenu kulitatua ila naona 'mnalikodolea' tu. Labda Siku Wake zenu na Watoto wenu (hasa Mabinti) wakienda 'Kukojolewa' ndani ya Maji huku Samaki wakiwa wanashuhudia na kuchekelea ndani ya Maji na mkiumia 'Mioyo' yenu ndipo mtatuelewa Wadau.

---
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.

Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.

Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )

Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.
 
Ebwana ni hatari sana.

Wanawafanyia BLACKMAIL ya kufa mtu.

Najaribu kufikiria UWEPO wa maji ya "chumvi"..huku NGUVU IKITUMIKA katika "ukutanaji" huo haramu, basi WATAALAMU watuambie kama HIZO factors tajwa HAZITOONGEZA(accelerating) "uingiaji" wa VIRUSI vinavyosababisha AIDS?

Na je vipi kuhusu STD's?

PENDEKEZO:

Mamlaka zinazozunguka HIZO BEACH ziweke MABANGO ya kutahadharisha HILO.
Yaani WAONGEZE na maneno "at your own risk".

Dada zetu nao WANA DHIMA ya kutomuamini MTU wasiyemjua KIHOLELA, inashangaza mbona huku MITAANI NA "daladalani" hawatoi/hawatoagi SALAMU kwa WASIYE MJUA? Sembuse hayo ya UKARIBU WA KUBEBANA kupelekana MAJI YA MAGOTI. KUSUKUMANA MAJI YA VIUNO mpaka kule kwenye MAJI YA VIFUA karibu na MIAMBA.
 
pole sana mkuu ,dunia ndio ilivyo,, ,ila mwamba we mnyonge sana sa ulikuwa unasubiri ushahidi kamili ndio utoe madai polisi?
unakuwa kama msambaa? yaani hao beach boy wanakula demu wako kwenye kina we unatumbua macho ufukweni, ,,umeshindwa kumzamia akamnyonye mavi huko kinani,

umepata ushahidi kamili na mananii ya mshikaji yapo,,,umeshindwa kupeleka polisi, ili mananii yakapimwe kwa mkemia mkuu na daktari adhibitishe kuwa kaingilia kweli, unakuja kuomba msaada kwetu.

ungemaliza mchezo huko huko mkuu
 
Nimecheka sana Mkuu.
 
Hiii kitu ippo niliwahi ishuhudia Kigamboni na nikazima tukio mojawapo kibabe maaana huwa sipendi upuuzi. Hii inshu kuimaliza ni sekunde, basi tu kuna wababe fulani hawajapewa rungu.
Kama Panyarod wameisha itakuwa hawa? naaamini kuna watu wasiozidi hata 20 wakipewa viunga vya Beach zote za Dsm within a single wkend mchezo utaisha mapemaa.
 
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono 'Majini' na kuwapa Mimba na Kuwaambukiza VVU / UKIMWI?

Nilianza Kulishuhudia Kawe Beach kisha baadae nikaliona tena Coco Beach nikadhani labda ni Wao tu lakini hivi karibuni nimelishuhudia tena Kunduchi Beach na hivi ninavyoandika nimetoka Kulishuhudia Ununio Beach. Kama Kazi ya Kukabiliana nao hawa 'Wahuni' imewashinda hebu turuhusuni basi Sisi Raia akina GENTAMYCINE tumalizane nao 'Kimafia' zaidi na mtawakuta 'Mochwari' huko.

Inakera, inaudhi na haivumiliki tena. Wana JamiiForums wengi tu hapa wameshaliibua hili na nilidhani ilikuwa ni wakati 'muafaka' kabisa Kwenu kulitatua ila naona 'mnalikodolea' tu. Labda Siku Wake zenu na Watoto wenu (hasa Mabinti) wakienda 'Kukojolewa' ndani ya Maji huku Samaki wakiwa wanashuhudia na kuchekelea ndani ya Maji na mkiumia 'Mioyo' yenu ndipo mtatuelewa Wadau.
malizaneni nao tu, hawa wanawatia sana watoto zetu huko kwenye maji, it should come to an end
 
Nilishuhudia hii kuna Dada mmoja yupo kwenye boya alikuwa anafuraha wakafika maji mengi waliporudi Dada kanuna sikuona kufurahi nikasikia wajuba wanaongea tayari jamaa kashakula mzigo tena wengine uwaga wanazibuaga mtaro
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono 'Majini' na kuwapa Mimba na Kuwaambukiza VVU / UKIMWI?

Nilianza Kulishuhudia Kawe Beach kisha baadae nikaliona tena Coco Beach nikadhani labda ni Wao tu lakini hivi karibuni nimelishuhudia tena Kunduchi Beach na hivi ninavyoandika nimetoka Kulishuhudia Ununio Beach. Kama Kazi ya Kukabiliana nao hawa 'Wahuni' imewashinda hebu turuhusuni basi Sisi Raia akina GENTAMYCINE tumalizane nao 'Kimafia' zaidi na mtawakuta 'Mochwari' huko.

Inakera, inaudhi na haivumiliki tena. Wana JamiiForums wengi tu hapa wameshaliibua hili na nilidhani ilikuwa ni wakati 'muafaka' kabisa Kwenu kulitatua ila naona 'mnalikodolea' tu. Labda Siku Wake zenu na Watoto wenu (hasa Mabinti) wakienda 'Kukojolewa' ndani ya Maji huku Samaki wakiwa wanashuhudia na kuchekelea ndani ya Maji na mkiumia 'Mioyo' yenu ndipo mtatuelewa Wadau.
 
Kweli hawa jamaa ni noma,najaribu kuwaza,hapa anabalance yeye asizame,anabalance binti asizame na bado at the same time anachakata papuchi...

huu ni ufanisi wa hali ya juu,wakati wewe ukipewa kiss tu hata peni unadondosha jinsi ulivyolegea kwa kusikilizia utamu.
 
Kwa uzoefu wangu wakuogelea, sidhani kama inawezekana kufanya mapenzi na mtu asiyejua kuogelea kwenye kina kirefu, hilo swala ni impossible, sema kama ni ngono huwa inafanyika kwenye kina cha kawaida ambacho mtu anaweza kusimama, na hao wanawake baadhi yao nahisi huwa wanaenjoy sana ndo mana ni nadra kuwasikia wakilalamika.
 
Kama waliweza mkamata bilionea wa mahindi Ruvuma naimani hata hao wa kuitwa beach boys watakomeshwa. Ila na nyie wanaume wa dar muache kutegemea polisi kila kitu, huku mkoani watu kama hao wangashalitangulizwa kwa alah mapema.
 
Punguza jazba mkuu, naamini yamekukuta.

Ubaya sasa kama ndo mkeo, au demu au mtoto wako kila siku atataka aende huko akakojolewe. Unaweza saidiwa kuzalisha usipo kuwa makini
Kagongewa demu wake muache ashushe pumzi huku Jf
 
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono 'Majini' na kuwapa Mimba na Kuwaambukiza VVU / UKIMWI?

Nilianza Kulishuhudia Kawe Beach kisha baadae nikaliona tena Coco Beach nikadhani labda ni Wao tu lakini hivi karibuni nimelishuhudia tena Kunduchi Beach na hivi ninavyoandika nimetoka Kulishuhudia Ununio Beach. Kama Kazi ya Kukabiliana nao hawa 'Wahuni' imewashinda hebu turuhusuni basi Sisi Raia akina GENTAMYCINE tumalizane nao 'Kimafia' zaidi na mtawakuta 'Mochwari' huko.

Inakera, inaudhi na haivumiliki tena. Wana JamiiForums wengi tu hapa wameshaliibua hili na nilidhani ilikuwa ni wakati 'muafaka' kabisa Kwenu kulitatua ila naona 'mnalikodolea' tu. Labda Siku Wake zenu na Watoto wenu (hasa Mabinti) wakienda 'Kukojolewa' ndani ya Maji huku Samaki wakiwa wanashuhudia na kuchekelea ndani ya Maji na mkiumia 'Mioyo' yenu ndipo mtatuelewa Wadau.
mbona unaenda sana beach mkui
 
Back
Top Bottom