jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. Nyanda Banka

    Je ni ipi faida ya kuwa katika huu ukurasa wa jamiiforums

    Kwanza nitangulize samahani na pia wasinichukulie vibaya wahusika wa jamiiforums. Kikubwa ni kutaka kujua ni kivipi mimi naweza kufaidika na kuwa katika huu ukurasa je kuna reward yoyote naweza pata au kitu chochote ambacho kinaweza kunivusha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Waraka wa Mwinjilisti Bujibuji kwa wana JamiiForums wote. Soma ufaidike na hekima ya Simba Nyamaume

    Dondoo za maisha: 1. Usiwakopeshe ndugu zako. Wasaidie. ¹ Ndugu zangu wapendwa katika jamvi hili adhimu la JamiiForums nawausia, usimkopeshe nduguyo, msaidie. ²Kuna ndugu wazandiki wenye husda, anakuja na gia ya kukopa, kumbe hana nia ya kurudisha, usimkopeshe, mpe aende. ³Leo familia nyingi...
  3. R

    Ziada Seukindo (Meneja Programu JF): Uelewa wa Sheria za Mtandao kwa watu bado ni mdogo

    Picha: Ziada Seukindo Meneja Programu JamiiForums Ziada Seukindo, Mtetezi/mchechemuzi wa haki za kidigitali na mtaalamu wa ushiriki wa wananchi mtandani na program meneja jamiiForums ashiriki mahojiano na Redio ya Kiss FM katika mjadala unaosema, Sheria za mitandao kutofahamika vizuri miongoni...
  4. sky soldier

    Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

    Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi, Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
  5. Kyambamasimbi

    Uzi wa kuwatafuta waliopotea humu jukwaa la JamiiForums

    Salaam, wanajf, napenda kuwatafuta wadau muhimu katika jukwaa hili la jf. Baadhi ya Ni Kama 1. TO YEYE 2. KICHWA KICHAFU 3. FAIZA FOX 4. SKY ECLAT 4. MPWAYUNGU 5. WA STENDI Jamani, watu Hawa mko wapi mpate uteuzi?
  6. NMB Tanzania

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  7. J

    MJADALA: Jamii ina Uelewa Juu ya Ugonjwa wa Lupus?

    Je, unaufahamu Ugonjwa wa Lupus, Dalili na jinsi ya kushughulikia nao? Je, unafahamu 90% ya Wagonjwa wa Lupus Duniani ni Wanawake? Kumekuwa na Uzushi kuwa watu wenye Ugonjwa wa Lupus hawawezi kuishi muda mrefu. Mtu mwenye Ugonjwa wa Lupus anaweza kuishi umri mrefu kama watu wengine iwapo...
  8. Tajiri wa kinyankole

    Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
  9. LICHADI

    Rais Samia naskia upo JamiiForums, basi pitia hapa

    Mama ili Nchi iendelee inatakiwa watu walipe kodi ila lazima uangalie namna unavyowakamua wananchi wako namna unavyowaumiza na sio kuwadai kodi kwa mabavu Mama mtu anaagiza mzigo China ukifika Bandarini analimwa kodi kubwa alatu mtu huyo huyo akifikisha mzigo wake store bado mnataka alipe kodi...
  10. Sildenafil Citrate

    Maxence Melo: Tumkumbuke William (Lemutuz) kama Mtetezi wa Uhuru wa Kujieleza na Mtetezi wa uwajibikaji Nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo Mubyazi ametoa pole kwa familia ya Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela kwa msiba mzito wa mpendwa wao ambae yeye amefahamiana nae kwa takriban miaka 20. Melo amesema ameshirikiana na Marehemu kwa mambo mengi, pamoja na watu wengi kumtambua kama Le...
  11. Camilo Cienfuegos

    Thread za JamiiForums zilizokuwa mbele ya muda

    Zifuatazo ni threads (nyuzi) za Jamii Forums zilizokuwa mbele ya muda (zilizotabiri yajayo) Sijajua kama ni kipawa tu cha mtu au ni sehemu ya maamuzi wa ya watu wa ndani ya mfumo...
  12. Melki Wamatukio

    Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

    Habari za wakati huu wakuu, Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi...
  13. Ndenji five

    Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

    Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna coment Wala tag, ya kukumbukwa Hata kwa mabaya yangu. Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa...
  14. M

    Akitoka BAN apewe Heshima yake JamiiForums kwani kwa 100% alichokisema Kimetokea Jana

    Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums. Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba...
  15. GENTAMYCINE

    Viongozi Waandamizi wote Serikalini igeni mfano Bora wa Waziri Dkt. Gwajima kuwa na Verified Account JamiiForums

    Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums. Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
  16. Hemedy Jr Junior

    Thread kwa wasomi wa JamiiForums acheni dharau

    Ubora wa elimu yako ni kile ulichosoma na kukielewa mwisho kukitendea kazi. we umesoma afu uko unadhurura na vyeti maofisi ya watu miaka nenda miaka rudi leo hii mnamtusi kijana aliyeishia darasa la saba 🤔 Mtu kuishia darasa la saba/form 4 sio kwamba akuwa vizuri kiuelewa hapa zipo changamoto...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tuwaheshimu wana JamiiForums ambao hawajawahi kupigwa ban

    Good Friday Kareem. Dhumuni la uzi huu ni kuwatambua wenzetu ambao wamekuwa ni watiifu wa mila na desturi na tamaduni zilizowekwa na uongozi wa JamiiForums ili sisi sote tuufuate. Mzee Mohamed Said amekuwa ni babu na baba bora wa jukwaa hili. Umsimange, umkebehi, umwite jina lolote baya au...
  18. Mtu mbalimbali

    Uliijuaje JamiiForums?

    Habari za muda huu waungwana, wanachama na wapenzi wa Jamiiforum, Ikiwa leo ni zaidi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa Jamiiforums, mtandao huu umekuwa kwa kasi sana miongoni mwa Watanzania na wanajamii ya East Africa kwa kuwa Mtandao wa huru na wa haki. Binafsi naweza sema ni Mtandao wangu...
  19. Replica

    Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi. Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama...
  20. KING MIDAS

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Tunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana. Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha Wing na Dar Wing. Arusha Wing walitia fora kwani waliweza kuwakaribisha Dar Wing mkoani Arusha mara...
Back
Top Bottom