Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
570
2,540
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza.

Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika leo, Oktoba 7, 2023 kwenye hoteli ya Hyatt Regency, the Kilimanjaro.

Amesema jukwaa la stories of change linatoa fursa nyingi ikiwemo ya kukuza kiswahili, lakini Tanzania ina mtandao huu mmoja unaotumiwa na watu zaidi ya milioni 20.

Ameisifu JamiiForums kwa kuanzisha jukwaa la JamiiCheck linalowashirikisha wananchi Mchakato wa kuhakiki usahihi wa maudhui yanayopatikana ndani na nje ya mtandao.

Pia, amesema Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi.

Katika hatua nyingine, Bwana Mobhare amesema JamiiForums ni taasisi ya mfano katika kuwajengea uwezo waandishi wa habari ambapo sasa mojawapo ya miradi yake ni kuwajengea uwezo waandishi wa habari 600 nchi nzima ili kusaidia upatikaji wa taarifa za kutosha.

Zaidi, soma: Yanayojiri katika Usiku wa Utoaji Zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2023
 
Pia, amesema Serikali inafuatilia kwa uakribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi.

Katika hatua nyingine, Bwana Mobhare amesema JamiiForums ni taasisi ya mfano katika kuwajengea uwezo waandishi wa habari ambapo sasa mojawapo ya miradi yake ni kuwajengea uwezo waandishi wa habari 600 nchi nzima ili kusaidia upatikaji wa taarifa za kutosha.

Zaidi, soma: Yanayojiri katika Usiku wa Utoaji Zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2023
Ni jambo jema!
 
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza.

Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika leo, Oktoba 7, 2023 kwenye hoteli ya Hyatt Regency, the Kilimanjaro.

Amesema jukwaa la stories of change linatoa fursa nyingi ikiwemo ya kukuza kiswahili, lakini Tanzania ina mtandao huu mmoja unaotumiwa na watu zaidi ya milioni 20.

Ameisifu JamiiForums kwa kuanzisha jukwaa la JamiiCheck linalowashirikisha wananchi Mchakato wa kuhakiki usahihi wa maudhui yanayopatikana ndani na nje ya mtandao.

Pia, amesema Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi.

Katika hatua nyingine, Bwana Mobhare amesema JamiiForums ni taasisi ya mfano katika kuwajengea uwezo waandishi wa habari ambapo sasa mojawapo ya miradi yake ni kuwajengea uwezo waandishi wa habari 600 nchi nzima ili kusaidia upatikaji wa taarifa za kutosha.

Zaidi, soma: Yanayojiri katika Usiku wa Utoaji Zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2023
Huyo ndiye komredi Matinyi nimjuaye......

Nikiwa mwanafunzi nilianza kumsoma makala zake ndani ya gazeti JAMHURI la komredi Deodatus Balile na kina Kamarada Manyerere Jackton na kunivutia nami kuandika makala za KUISIFU CCM na serikali yake na kuzituma kila wiki

Nashukuru baada ya kuzipitia komredi Balile akawa anaziweka katika kurasa

Abarikiwe sana kamarada D.Balile ,aaamin aaamin

#SiempreJMT
 
Wakisoma za kwangu na mtoto wa mama mkwe watakufa kabisa sio kuzimia tu!

Waishiage tu kusoma tunayoyaandika hadharani, yale ya sirini wayaache kama yalivyo. Wasijitafutie vifo vya kisukari cha kushuka.

Maana zile za ooohh bebiii fuuuCKk, Oohhh shiiitiii, hapo hapo jamanii... Chezea sex chat kama MANYUMBU Haki ya nani
 
Huyo ndiye komredi Matinyi nimjuaye......

Nikiwa mwanafunzi nilianza kumsoma makala zake ndani ya gazeti JAMHURI la komredi Deodatus Balile na kina Kamarada Manyerere Jackton na kunivutia nami kuandika makala za KUISIFU CCM na serikali yake na kuzituma kila wiki

Nashukuru baada ya kuzipitia komredi Balile akawa anaziweka katika kurasa

Abarikiwe sana kamarada D.Balile ,aaamin aaamin

#SiempreJMT
Jamhuri hila juzi juzi tu ?
 
Ni muelekeo mzuri sana kwa Serikali kutambua na kuthamini michango ya JamiiForums.

Kulingana na kauli ya Msemaji Mkuu wa Serikali, kuwa Serikali inapanga kuchukua hatua za kupongezwa na muhimu, kama vile kufuata ushauri wa wana JF, kukabiliana na changamoto zinazoikabili Taifa and so on, nashauri wazingatie Akili bandia,Habari potofu na Habari zisizo za kweli.

Nasisitiza, Serikali iendelee kuheshimu na kulinda utamaduni na mila za Watanzania.

Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi

Hatahivyo,Watanzania wanasema hatujardhika na Mkataba mbovu wa Bandari.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom