jamii

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni yupi adui namba Moja wa jamii ya Kimasai

    NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako. Theory hii sio tu unaweza kuitumia wakati wa vita, hata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka mafaniko...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni yupi adui namba Moja wa jamii ya Kimasai

    NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako. Theory hii sio tu unaweza kuitumia wakati wa vita, hata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka mafaniko...
  3. JamiiForums Tanzania Fanya haya ukitaka kuwa na mahusiano yenye furaha katika jamii

    USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO - labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie. UKIKOPA, LIPA! -Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa UKITOLEWA DINNER AU LUNCH -Usiagize vyakula vya gharama sana na mara nyingine ununue wewe KUWA NA UTU -Kwa wahudumu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Jamii imejaa uasi

    Askofu wa jimbo katoliki la Rulenge Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amesema jamii imejaa uasi kutokana na kuongezeka kwa maovu yanayotekelezwa na baadh ya wanajamii. Akiongea katika ibada ya Upadrisho wa Padre Baraka Rusesa, inayofanyika leo katika kanisa la Mtakatifu Fransinsko wa Asiz...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya Usiri, toka nimejiunga JamiiForums 2010 hakuna anayenijua, completely anonymous

    Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani. Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever...
  6. JamiiForums Tanzania Mwana Jamii mwenzetu yupo korokoroni!

    Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni gharama kiasi gani zitatumika kulipia server kwa website yenye watembeleaji sawa na jamii forum ?

    Ni fedha kiasi gani zitatumika kulipia server kwa site kama hii ya Jamii Forum Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa na hizi mambo
  8. JamiiForums Tanzania Ni kipi haswa kilikuvitia kujiunga na Jamii forums

    Ni jambo gani haswa lilikuvutia hadi ukaamua kujiunga na Jamii forums. Na je tangu umejiunga huu mtandao wa Jamii forums umekusaidiaje na wewe umeutumia vipi kuwasaidia wengine? Mimi binafsi nilijiunga 2007 ila kutokana na hasira na mihemko nikaishia kula IP ban!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua mfuko wa maendeleo kusaidia jamii nchini Sierra Leone

    Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na kampuni ya Leone Rock Metal, kampuni hiyo itachukua asilimia 1 ya mapato yake ya kila mwaka kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Dizasta Vina - Simulizi, ubunifu na maisha ya jamii yake ndani ya album ya The Verteller

    Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ukatili wa Kingono kwa Watoto, Serikali na Jamii inawajibika

    Ukatili wa kingono dhidi ya watoto huhusisha ubakaji, ulawiti, utekaji na usafirishaji wa watoto kwa ajili ya ngono, kumshika mtoto via vya uzazi ikiwa ni pamoja na uke, uume na matiti, uoneshaji video za ngono kwa watoto Miaka ya karibuni visa vya Ukatili wa Kingono kwa Watoto vinazidi...
  12. JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi ya jamii

    Habari wanajamiiForums, rejea na kichwa habari hapo juu Naomba kwa pamoja tuwekane sawa kwenye haya masuala ya mifuko yahidhi ya jamii, maana mimi ni mhanga wa kutaka kujuzwa zaidi ya hapa ninapo elewa, Kufuatia taarifa ya mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii, tarehe 14 Nov 2018.kupitia...
  13. JamiiForums Tanzania Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Kwema Wakuu! Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa. Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika. Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
  14. JamiiForums Tanzania Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

    Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani. Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi huwekwa wa MAKUSUDi ili kubomoa Jamii

    Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna watu wanaishi kwa sababu ya poverty ya Afrika na wana Mishahara ya kukufuru, fikiria tu kwa mfano UN...
  17. JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  18. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, written interview

    Hello, Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Jaji aliyetoa hukumu ya Sabaya tutapataje CV yake? Anasifika Kwa uadilifu ofisini kwake na machoni pa jamii?

    Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho...
  20. JamiiForums Tanzania Habari Wana jamii

    Nimwaka wa tatu Sasa natafuta mchumba wa kuowa, lkn Kila nikipambana kutafuta naangukia pia, naombeni maelekezo websaiti nayoweza PATA wachumba... Ata group la mamanzi wa kizungu mm fresh... Nisaidien jmn Angalizo: Kama Kuna bibie yeyote Alie nielewa anichek tufanye maisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…