jamii

  1. Brother Wako

    JamiiForums Tanzania SoC02 Selivesh: Dini ya Manyanyaso (Waumini Ni Watumwa wa Kiongozi)

    Miaka yangu miwili kama muumini wa Imani hii, niliamini hakuna mtu anaweza kusikia maagizo ya Mungu kama hajafunguliwa kutoka kwenye nguvu za giza zinazomshikilia katika ulimwengu wa kiroho (wanaita vifungo). Lakini siku chache baada ya kutoka Selivesh, kwa msaada wa Neema ya Mungu, kulitafakari...
  2. Kikapuu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nataka kuwa mtu wa maarifa ndani ya Jamii

    Utangulizi. Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mzoefu wa kuajiriwa migodini, naomba siri ya mishahara kama Afisa Mazingira au Afisa Jamii

    Naomba kuulizxa kwa range yamsihshara kwa maafisa afya, mazingia au maafisa jamii wanaoajiliwa migoding range yasalary ni sha ngapi? Je, kunamalulupu gani ya ziada? Je, maisha ya kufanya kazi migodini kwa nafasi hizo ukilinganisha na kufanya kazi kwenye NGOs wapi bora? Naomba ushauri.
  4. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika jamii kuunga mkono juhudi za Serikali

    Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta mabadiliko. Aliweka pamba masikio na kusonga mbele juu ya kusimamia miradi mikubwa ya uwekezaji pamoja na...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Watoto Wenye Ulemavu Kuwezeshwa Kuwa Washiriki Hai Katika Jamii Zao Na Kuishi Maisha Bora

    Ni muhimu kwa watu wenye ulemavu kuwa washiriki hai katika jamii zao na kuishi maisha yenye kuridhisha. Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu unasema kuwa watu wenye ulemavu wana haki ya kushiriki kikamilifu katika jamii. Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme (Samico Tanzania) aomba pambano na Mandonga, ashusha bei za ufundi kwa wateja wa Jamii Forums tu

    Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA. OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)! Ofa hii...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Faida za Sayansi na Teknolojia ni zipi? Ni jinsi gani tunaweza kunufaika na Sayansi na Teknolojia kwenye jamii?

    UTANGULIZI SAYANSI ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu. Na TEKNOLOJIA ni vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu. SAYANSI na TEKNOLOJIA ni nyanja zinazotegemeana kwakuwa ujuzi unaopatikana kisayansi unategemea au kuchangia sana...
  8. MONEY 255

    JamiiForums Tanzania Namanage Account za Forex

    Habari Wana jamii forums Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa. Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unavyoweza kutumia mshahara wako kujikwamua kimaisha

    Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipato” kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ? Upo Ukweli wa namna Fulani katika kauli hii kwakua wafanyakazi wengi wanaishi Maisha ya Ukata, kazi yao...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muda katika malezi ya watoto na athari zake kwenye maisha ya mtoto na jamii yake

    Yaliyomo: UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO MTOTO NA ELIMU MTOTO NA JAMII TABIA NA MATENDO MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA ATHARI ZA MALEZI DUNI UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao? Hali ya...
  11. rammbiro

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ongezeko la single mothers na athari zake katika jamii

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NA ATHARI ZAKE BY : RASHID ABUNAYA Email : rashidabunaya@gmail.com Assalaam aleykum ndugu wana jamii, Ni matumaini yangu mu buhery wa afya kwa wale mlio na shida za kiafya basi mwenyezi mungu awafanyie wepesi mpate kupona Ndugu wana jamii, bila shaka ninyi nyote...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari za uraibu kiafya na kiuchumi kwa ujumla

    Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani unaotokana na hali ya kuzoea kufanya kufanya kitu chenye madhara bila kujizuia . mara nyingi watu huzingatia Zaidi uraibu wa dawa za kulevya na kuchukulia ulevi kama tabia lakini kisichojulikana ni kua kuna uraibu wa mambo mengi kama vile uraibu...
  13. kmasanja20

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sensa, na Mitazamo ya Jamii Ajira fupi za Sensa

    Sensa na mitazamo ya jamii ajira fupi za Sensa. Imeandikwa na: K.Masanja DIBAJI Katika kipindi hiki ambacho nchi yetu pendwa inapoelekea katika utekelezaji wa sensa ya watu na makazi ya awamu ya sita na utaratibu wake ambao hufanyika kila baada ya miaka kumi, Makala hii inalenga si tu kutoa...
  14. Botolani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkaa: Zimwi litujualo

    Miongoni mwa mada muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu ni Nishati ya kupikia. Historia inasomeka kuwa mwanadamu alianza kupata maendeleo makubwa (evulution) baada ya kujua namna ya kudhibiti moto na kuutumia kupikia na kisha kwenye shughuli nyingine. Alipoanza kupika, ndipo mabadiliko makubwa...
  15. Botolani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto za mitaala, shule na elimu

    Utangulizi Habari za wakati huu mwana JF. Karibu kwenye makala haya ya kimtazamo yanayoangazia changamoto za mitaala ya shule pamoja na elimu kwa ujumla. Katika hali ya kawaida Msingi wa elimu huanzia shuleni ambapo mwanafunzi huanza akiwa hajui kusoma wala kuandika mpaka kufikia hatua ya juu...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo ningependa niandike manufaa, au faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JF. Afu kama kuna mungine au wengine walionufaika na mtandao huu, basi walete...
  17. The Gojo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanaume ndiye Mtu wa kwanza kuzuia Mimba zisizopangwa

    UTANGULIZI: ▪︎Mimba zisizotarajiwa zimekuwa tatizo sugu kwa miaka mingi katika jamii yetu. Nataka kusaidia kuondoa mimba zisizopangwa kwa kumuelimisha mtoto wa kiume ambae ndiye huweka mimba. Ni rahisi, mwanaume anatakiwa ajue na kuelewa mzunguko wa hedhi wa mwanamke kwa usahihi. Hitaji la...
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati muafaka sasa wa Jamii kuelewa ukweli kuhusu Ndoa

    Wakuu, Kuna msemo ambao sikumbuki niliwahi kuusikia au kusoma wapi lakini unasema "it is now or never" Yaani kama sio sasa basi ni milele. Ikiwa na maana wakati wa kuchukua hatua ni sasa na tusipochukua hatua basi ni milele!! Pamoja na kwamba naandika makala hii katika mashindano lakini...
  19. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Jamii wameiga(Kujifunza) nini kutoka kwako?

    Kuna jambo lolote unahisi katika familia, Wilaya, mkoa, Taifa au Dunia kwa Ujumla lilinzia kwako ndipo watu wakaliendeleza katika jamiii liwe baya au zuri au la kuvutia au kukera lakini wewe ndio muasisi. Tuthibitishie hapa!! Kwa mfano kuna maneno yalitamkwa na wanasiasa na wanamuziki miaka...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bujibuji ninakusalimia kwa jina la JamiiForums

    Bujibuji Simba Nyamaume Mwalafyale wewe ni mwenye kiti wa mtaa, unapoondoka bila taarifa kero za mtaa wetu tuzipeleke kwa nani. Nyamaume ulipita kwa kura zote japo kulikua na figisu lakini ushindi wako ulikua bayana mpaka wale waliokata pumzi ilibidi wakuapishe. Kama uko salama huko ukoko...
Back
Top Bottom