Mwana Jamii mwenzetu yupo korokoroni!

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,304
14,194
Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke korokoroni tumwombeeni jamani. Kama utagundua leo hajaonekana kwenye jukwaa lolote tumwombeeni jamani maana pia alipigwa kutokana na hiyo fumanizi.
Update- alishatoka korokoroni ila mentally hayupo sawa kwahyo muda wowote anaeza timba humu ndani
N.B Chunguza jirani yako ambaye haonekani yupo kimya sana ujaribu kumwombea na kumkonsole hiyo chini 👇ni picha yake halisia kuna ambao wanammanya fresh, tumwombeeni jamani.
20220602_231136.jpg
 
Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke korokoroni tumwombeeni jamani. Kama utagundua leo hajaonekana kwenye jukwaa lolote tumwombeeni jamani maana pia alipigwa kutokana na hiyo fumanizi.
Hujaweka wazi tumuombee kwa nani?
Maana kama kafumaniwa ni kosa pia ni dhambi sasa tumuombee kwa Mungu au kwa mzimu wa yule mzee
 
Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke korokoroni tumwombeeni jamani. Kama utagundua leo hajaonekana kwenye jukwaa lolote tumwombeeni jamani maana pia alipigwa kutokana na hiyo fumanizi.
Poleni. Fumanizi sio kosa la jinai, hapaswi kushikiliwa, unless no amehifadhiwa kituoni kwa Usalama wake Baada ya fumanizi. Jee anashikiliwa kwa kosa gani?, kituo gani?.
P
 
Poleni. Fumanizi sio kosa la jinai, hapaswi kushikiliwa, hivyo anashikiliwa kwa kosa gani?, kituo gani?.
P
Kafumaniwa na mume wa mtu huko sinza ila yeye hakujua na wala alikuwa hajui jamaa ni mume wa mtu. Hivo wamempiga piga, wakampeleka polisi kwa madai ya wizi na ulaghai kwa kutumia video. Hivo mpaka muda hu sa 5 hii yupo korokoroni. Tumempelekea msosi amegoma kula kabisa ila nduguze wanajaribu kuyamaliza hapa kituoni.
 
Tumuombee ???? Muharifu?

Anyeee debee hata wiki,Iwe funzo kwa wengine.

Watu wanafanya maksudi ili waje kuanzisha thread kuwa walitoka na waume za watu au wake za watu kama vile sifaaaa yani.

Atembezewe kichapo kwenye joint asije kutoroka huyo
Roho mbaya haijengi mbona kuna members watatu wameshafika muda huu wanajaribu nao kutafta solution! Acha uchawi
 
Back
Top Bottom