Ni gharama kiasi gani zitatumika kulipia server kwa website yenye watembeleaji sawa na jamii forum ?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,488
Ni fedha kiasi gani zitatumika kulipia server kwa site kama hii ya Jamii Forum

Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa na hizi mambo
 
Kama hauko derious sana andaa ata $10 pale Godaddy unapata ya mwaka..Ila kama umedhamiria kama Max CEO wa JF andaa kma $500+ kwa uchache..
 
Jamii forum kinachotughalimu ni multiple IDs unaweza kusema watumiaji elfu 40 kumbe ni elfu 16 tu ila mtu mmoja ID 2,4, MPAKA 10
 
Pesa ndefu Cloudflare, hosting ambao wanatumia kuna kipindi walikuwa wanamtumia Sucuri WAF nyakati ambazo ilipigwa sana tukio so kwa mwezi plus other services ni zaidi ya $ 10,000
 
Ngumu kujua, JF wapo level nyengine kabisa, sio level za kulipia kiasi fulani kwa mwezi, site kubwa kama hizi unakuta zina dedicated hardware ama vps ambazo gharama zinabadilika mara kwa mara.

Unaweza kuta Dedicated hardware ipo mahala fulani ikiwa na hitilafu tu ukirequest support inakugharimu laki kadhaa kwa saa.
 
Hata mimi niliwahi kuwaza hii kitu ya kua JF watakua na VPS (Virtual Private Server)yao wenyewe au wana physical computer server kabisa yenye uwezo mkubwa tu....
Ngumu kujua, JF wapo level nyengine kabisa, sio level za kulipia kiasi fulani kwa mwezi, site kubwa kama hizi unakuta zina dedicated hardware ama vps ambazo gharama zinabadilika mara kwa mara.

Unaweza kuta Dedicated hardware ipo mahala fulani ikiwa na hitilafu tu ukirequest support inakugharimu laki kadhaa kwa saa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom