Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

Wababa13

Senior Member
Dec 27, 2017
105
70
Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
 
Hapohapo kwenye Diploma/ FTC ndio penyewe jaza hapo qualification yako.

Usicheze na huo mfumo hasa kwenye kuweka vyeti, once ukikosea utapata tabu sana kufuta qualification
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom