Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,977
45,473
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .

Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali Sana mzee wangu (Farther) Hivi nyie ndugu Mbona mnaroho Mbaya hamtaki nimjali mzee wangu kisa nini. So nilichogundua watu wakikusikia umeanza kujitambua na kumjali Mzazi wako Basi lazima wakuponde yaani wanaumia kuona namjali Father .

So Angalizo Mimi Ni last born lakini ntahakikisha namtumza mzee wangu Mwanzo mwisho japo ndugu hawataki wanatamani kumuona mzee wangu anateseka. Mzee wangu pia Alipata ajari 2020 Mimi ndo nilimuuguza pale MoI mwanzo mwisho so na ndugu zangu hawakutoa msaada wowote

Mambo Ni mengi lakini Mimi ntapambana na Mzee wangu mpaka Pumzi ya Mwisho.
 
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan

Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu .

Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .

Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali Sana mzee wangu (Farther)

Hivi nyie ndugu Mbona mnaroho Mbaya hamtaki nimjali mzee wangu kisa nini.

So nilichogundua watu wakikusikia umeanza kujitambua na kumjali Mzazi wako Basi lazima wakuponde yaani wanaumia kuona namjali Father .

So Angalizo Mimi Ni last born lakini ntahakikisha namtumza mzee wangu Mwanzo mwisho japo ndugu hawataki wanatamani kumuona mzee wangu anateseka

Mzee wangu pia Alipata ajari 2020 Mimi ndo nilimuuguza pale MoI mwanzo mwisho so na ndugu zangu hawakutoa msaada wowote

Mpambanie mpaka tone la mwisho mkuu, huyo ndo anaekupa baraka michongo inatiki
 
Ni wazo zuri. Komaa hivo hivo uchume baraka nyingi kwenye maisha yako.
Lakini siku nyingine usihusishe fegi kwenye lawama za walimwengu. Haihusiani!
 
Pengine fegi ni miongoni mwa anavyosemwa navyo na wenye chuki naye. Utasikia, "yaani mademu hataki, pombe hanywi hata fegi havuti". Ulitaka asiitaje mkuu!!?
 
😃😃😃😃😃 hapo inabidi achague kimoja au aweke tangazo love conect atafte mtu aloe comfortable na hayo yote
 
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan

Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu .

Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .

Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali Sana mzee wangu (Farther)

Hivi nyie ndugu Mbona mnaroho Mbaya hamtaki nimjali mzee wangu kisa nini.

So nilichogundua watu wakikusikia umeanza kujitambua na kumjali Mzazi wako Basi lazima wakuponde yaani wanaumia kuona namjali Father .

So Angalizo Mimi Ni last born lakini ntahakikisha namtumza mzee wangu Mwanzo mwisho japo ndugu hawataki wanatamani kumuona mzee wangu anateseka

Mzee wangu pia Alipata ajari 2020 Mimi ndo nilimuuguza pale MoI mwanzo mwisho so na ndugu zangu hawakutoa msaada wowote

Mambo Ni mengi lakini Mimi ntapambana na Mzee wangu mpaka Pumzi ya Mwisho.
Abarikiwe Kijana awatunzaye Wazazi wake

Komaa Mkuu pambana umtunze.

Hata humu JF Kuna Wana ni Mason ila hawawakumbuki wazazi wao, yaan ni wao ma starehe, Pombe ,mademu ... Duuhh lkn wazazi wako hoi.

Lkn tulishakubaliana hamna kupangiana, Msinifokee wajuba
 
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan

Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu .

Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .

Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali Sana mzee wangu (Farther)

Hivi nyie ndugu Mbona mnaroho Mbaya hamtaki nimjali mzee wangu kisa nini.

So nilichogundua watu wakikusikia umeanza kujitambua na kumjali Mzazi wako Basi lazima wakuponde yaani wanaumia kuona namjali Father .

So Angalizo Mimi Ni last born lakini ntahakikisha namtumza mzee wangu Mwanzo mwisho japo ndugu hawataki wanatamani kumuona mzee wangu anateseka

Mzee wangu pia Alipata ajari 2020 Mimi ndo nilimuuguza pale MoI mwanzo mwisho so na ndugu zangu hawakutoa msaada wowote

Mambo Ni mengi lakini Mimi ntapambana na Mzee wangu mpaka Pumzi ya Mwisho.
Dogo naona ndiyo kamliza chuo bado hajapata kazi ndiyo maana ana muda wa kutosha kutoa threads tatu kwa siku.Haya buana tumekusikia.
 
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan

Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu .

Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .

Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali Sana mzee wangu (Farther)

Hivi nyie ndugu Mbona mnaroho Mbaya hamtaki nimjali mzee wangu kisa nini.

So nilichogundua watu wakikusikia umeanza kujitambua na kumjali Mzazi wako Basi lazima wakuponde yaani wanaumia kuona namjali Father .

So Angalizo Mimi Ni last born lakini ntahakikisha namtumza mzee wangu Mwanzo mwisho japo ndugu hawataki wanatamani kumuona mzee wangu anateseka

Mzee wangu pia Alipata ajari 2020 Mimi ndo nilimuuguza pale MoI mwanzo mwisho so na ndugu zangu hawakutoa msaada wowote

Mambo Ni mengi lakini Mimi ntapambana na Mzee wangu mpaka Pumzi ya Mwisho.
Kweli kabisa na wanashikwa na hasira huku wakikutafutia sheikh akusomee albadir au mchawi akufunge uharibikiwe kisha waje kukucheka na kusema eti alikuwa anajifanya mjuaji enzi zake.
 
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .

Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali Sana mzee wangu (Farther) Hivi nyie ndugu Mbona mnaroho Mbaya hamtaki nimjali mzee wangu kisa nini. So nilichogundua watu wakikusikia umeanza kujitambua na kumjali Mzazi wako Basi lazima wakuponde yaani wanaumia kuona namjali Father .

So Angalizo Mimi Ni last born lakini ntahakikisha namtumza mzee wangu Mwanzo mwisho japo ndugu hawataki wanatamani kumuona mzee wangu anateseka. Mzee wangu pia Alipata ajari 2020 Mimi ndo nilimuuguza pale MoI mwanzo mwisho so na ndugu zangu hawakutoa msaada wowote

Mambo Ni mengi lakini Mimi ntapambana na Mzee wangu mpaka Pumzi ya Mwisho.
Una mambo ww.... Kumbe ni last born ndo mana
 
Mi binafsi huwa nashangaa watu ambao hawatunzi wazazi wao,kuna siku ofisini kwetu ulitokea mjadala mkubwa kuhusu kuwatunza wazazi,jamaa walinipinga vikali,nikabaki nashangaa tu "hivi inawezekanaje mi na familia yangu tunakula vizuri na kusaza,halafu bi mkubwa wangu huko mkoani alala njaa...!!!" Ni jambo lisilowezekana kwa upande wangu..au kwa sababu ni last born??..
 
Back
Top Bottom