Utawala bora na Uwajibikaji!
Hivi ni vitu gani? Nani hawajibiki? Je utawala siyo bora? Nani ni mtawala? Mtawala ndiye hawajibiki? Au anayetawaliwa hawajibiki? Kipi kinaathirika zaidi ikiwa mtawala na mtawaliwa hawawajibiki katika nafasi zao?
Tunaona sawa ila tunatazama tofauti.Ndiyo,mitazamo...
MADA: Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora.
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Makala hii inalenga kuchunguza jukumu la sekta binafsi na asasi za kiraia katika kushirikiana na serikali na...
Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu zinazofahamika na ama pia kwa sababu zilizo wazi jambo linalopelekea kuibuka kwa tafrani, simanzi na hata...
KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII
Imeandikwa na:Mwl.RCT
***
Utangulizi:
Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu kubwa katika kufanikisha malengo haya. Hata hivyo, ili kufikia maendeleo na ustawi wa jamii, ni...
UTANGULIZI
Biashara haramu ya usafirishaji binadamu ni kitendo cha kusafirisha binadamu kwa njia ya nguvu, tishio,kulazimishwa, kudangaywa au utekaji nyara kwa kusudi la dhuluma. Hujumuisha kuajiri kwa nyonya, kuhamisha, kusafirisha, kuhifadhi au kupokea watu. Lengo la biashara hii ni haramu ni...
Hellow Africa 🌍
Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea.
Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini?
Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka...
Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake.
Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
UTANGULIZI:
"Kutakuwa na amani ulimwenguni tu wakati kuna amani kwenye familia." - Mahatma Gandhi
Mahatma Gandhi, kiongozi wa uhuru wa India na mwanaharakati wa amani, anatoa wito kwa amani katika familia kama msingi wa kuleta amani ulimwenguni. Anaamini kwamba kujenga utawala bora ndani ya...
HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO.
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Picha | Msitu wa kijani kibichi
Katika msitu wa kijani kibichi, wanyama mbalimbali walikuwa wakiishi kwa amani na utulivu. Hata hivyo, katika...
Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu na hazikuwekwa tu bila sababu bali zilitokana ili kuilinda jamii na watu waliomo ndani take dhidi...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi Washauri wa Rais wafuatao:-
(i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jami). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa;
(ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo...
Na Gaspary Charles, ZANZIBAR
JAMII imetakiwa kutambua na kuweka mkazo kwenye upatikanaji wa tiba ya saikolojia na ushauri nasaha ili kuwasaidia waathirika wa matukio ya udhalilishaji kukabiliana na changamoto za kisaikolojia zinazowaathiri baada ya kufanyiwa vitendo hivyo.
Ushauri huo...
MAWAZO YENYE ATHARI CHANYA: KUCHOCHEA MAENDELEO NA MABADILIKO KATIKA JAMII
Imeandikwa na:Mwl.RCT
Picha | Kwa hisani ya 'training'.au
1. UTANGULIZI
Katika jamii yetu ya leo, mawazo yana nguvu kubwa katika kuunda mabadiliko chanya. Mawazo hayo yanaweza kuchipuka kutoka kwa mtu mmoja na kusambaa...
Tangia Jamii forum ianze miaka 17 iliyopita, mpaka leo bado ina watumiaji laki 6 na kidogo tu. Hii idadi ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watanzania wenye uwezo wa kumiliki simu janja.
Hii ni hasara kwa jamii kwakuwa hatuzivuni faida nyingi za watu kuwa katika huu mtandao kuliko mitandao...
Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William.
Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza.
Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
1. Utangulizi
Utawala bora ni mfumo wa kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kijamii unaofuata kanuni za kisheria uliojaa uwazi, uwajibikaji na uwazi wenye kuleta tija katika jamii. Katika andiko hili nitazungumzia matatizo yanayoikumba jamii ya kitanzania mambo halisi ambayo hufanywa na viongozi na...
Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano:
Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu.
Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi.
Mzibua vyoo atatatua kero ya kuzagaa kwa maji taka na kuelekea kwenye mfumo...
Uwajibikaji ni mada ambayo imezungumziwa kwa kina katika nyanja mbalimbali za kijamii. Inahusisha uwajibikaji wa watu binafsi, makundi na hata serikali katika nyanja tofauti. Nyanja kuu za uwajibikaji ni pamoja na kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Katika makala hii, nimazingatia jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.