Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.

3623D819-CA79-4E6F-B228-336C148AC914.jpeg
 
Mbona nimeandika kila kitu hapo juu.
Japo sio sheria kwamba ni lazima itokee hivyo, raundi ya kwanza itatoa picha halisi ya mwenendo wa ligi. Yanga alikuwa bingwa wa ngao ya jamii mwaka 2013 lakini ubingwa wa ligi ukaenda kwa Azam.
Mwaka 2012 Simba alikuwa bingwa wa ngao ya jamii lakini ligi kuu msimu akabeba yanga msimu wa 2013
 
Uzi umeuua kwahoja nzurii mno iliyojaaa mifano💪
 
Siyo kwa Simba hii iliyobahatikia penalty tu. Ligi kuu inahesabu point ambazo kama zingetumika hapa, basi Simba angekuwa na point 2 wakati yanga akibeba point 4.
 
Japo sio sheria kwamba ni lazima itokee hivyo, raundi ya kwanza itatoa picha halisi ya mwenendo wa ligi. Yanga alikuwa bingwa wa ngao ya jamii mwaka 2013 lakini ubingwa wa ligi ukaenda kwa Azam.
Mwaka 2012 Simba alikuwa bingwa wa ngao ya jamii lakini ligi kuu msimu akabeba yanga msimu wa 2013
Umempa jibu la ki professor sana kwa kumbukumbu rejeo umerudisha hadhi ya jukwaa.
Mazwazwa huanzisha mada kama vichwa vimekatwa.
 
Back
Top Bottom