Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

bongo dili

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
12,371
24,603
Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya.

1. Dada wa kazi.
Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule wanapata mda wa kutuliza akili.

Hofu yao kuu ni kugombezwa, kutukanwa, kuropokewa nk toka kwa maboss zao ambao ni toxins women au circle sin.

Wapo wanawake Wana tabia mbaya za kuwaumiza watoto wa wenzao kwa kuwaropokea maneno makali, machafu yasiyofaa ( toxin's) kisa wanawalipa mshahara au mabinti wanatokea family masikini hii ni laana mbaya mama unapanda kwenye maisha yako.

Dada wa kazi ni mwanao usimtende vibaya kisa hana thamani kwako, lakini kumbuka ndio kabeba usalama wa maisha yako akiwa Kama muangalizi wa familia ukiwa haupo.

2. Madereva wote.
Hawa hofu yako kuu uletwa na traffic maana dereva mda wote anawaza kupigwa mkono ukitaka kuona hili kaa na dereva then akimuona traffic mbele muangalie usoni.

3. Malaya stress kuu ni namna ya kupata wateja siku hio.

4. Kibaka muda wote uwaza kitanuka

5. Mpangaji uomba mwisho wa mwezi usifike.

6.Wauza gongo

7.Machinga hofu ya kukamatwa na kubebewa Mali zao na wazee wa city.

Ukienda mjini wanauza huku macho juu juu
8.Marejesho ya vicoba marejesho uwapa sana stress hadi ujiuza ili waepuke kuchukuliwa vitu ndani wengi ukopa pasipo waume zao kujua.
9.Wenza waishio na chui.
Chui ni mwanamke/ mwanaume mgomvi,mtata,mkali, mkorofi ambae akifika home hadi nyau zinatafuta chimbo la kujifichia.
 
kinacho wapa hofu wadada wa kazi za ndani ni wanapokutana na wababa wa hovyo wanaowatamani,
Asilimia kubwa binti akiwa mzuri lazima wababa wa hovyo wanawatamani na wengi wao huishia kwenda kufanya kazi za bar! ukiwa karibu na bar med wengi watakwambia walisha fanya kazi za ndani
 
Kila kitu dada dada hii uwafanya kuwa na UKARIBU na wababa.
Kama hdi nguo za ndani wanawapa kufua lazima waliwe
 
Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya.

1. Dada wa kazi.
Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule wanapata mda wa kutuliza akili.

Hofu yao kuu ni kugombezwa, kutukanwa, kuropokewa nk toka kwa maboss zao ambao ni toxins women au circle sin.

Wapo wanawake Wana tabia mbaya za kuwaumiza watoto wa wenzao kwa kuwaropokea maneno makali, machafu yasiyofaa ( toxin's) kisa wanawalipa mshahara au mabinti wanatokea family masikini hii ni laana mbaya mama unapanda kwenye maisha yako.

Dada wa kazi ni mwanao usimtende vibaya kisa hana thamani kwako, lakini kumbuka ndio kabeba usalama wa maisha yako akiwa Kama muangalizi wa familia ukiwa haupo.

2. Madereva wote.
Hawa hofu yako kuu uletwa na traffic maana dereva mda wote anawaza kupigwa mkono ukitaka kuona hili kaa na dereva then akimuona traffic mbele muangalie usoni.

3. Malaya stress kuu ni namna ya kupata wateja siku hio.

4. Kibaka muda wote uwaza kitanuka

5. Mpangaji uomba mwisho wa mwezi usifike.

6.Wauza gongo

7.Machinga hofu ya kukamatwa na kubebewa Mali zao na wazee wa city.

Ukienda mjini wanauza huku macho juu juu
8.Wanawake wa vicoba marejesho uwapa sana stress hadi ujiuza ili waepuke kuchukuliwa vitu ndani wengi ukopa pasipo waume zao kujua.
Hao wote number 1-8 ni watu wasio na cha kupoteza na wamejiajiri wenyewe!

Watu wenye stress ni wale walioajiriwa:
Madaktari
Waalimu na
Watumishi wa umma kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom