jamii

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

    Salaam! Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram. Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri. Asante.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Serikali ya Mkoa Songwe ielezeni jamii kilichotokea kuhusu tuhuma za Kaimu Meneja wa TANROADS

    Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa. Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

    Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.
  4. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Ninataka nijue status za wana JF hawa baada ya mechi ya Ngao ya Jamii

    cc: Mpwayungu Village, Bantu Lady, zipompa
  5. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Chief Godlove na Chimakeke wa mitandao ya jamii wamejaliwa akili ya kuchochea hasira za maendeleo

    Hello Bazzukulu! Kukaa maghettoni bila michongo ya pesa ni hatari kwa afya ya uchumi wa jamii na taifa. Raha ya maisha ni pesa na maendeleo. Huyu Chief Godlove, na Chimakeke ni madoni na misheni inspirers wa mchongo, wna akili fulani hivi ya kuchochea hasira za maendeleo. Michano yao ya...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Ngao ya jamii na furaha bandia

    Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu nyingine? Tunajua kuwa tumeupata huu Ushindi kwa kelele nyingi juu ya waamuzi kutoka ndani na nje ya uwanja...
  7. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

    Friends and Enemies, Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada. Wilbroad Slaa, wakati wapinzani wanapambania demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na Utawala...
  8. DR nijilekukasi

    JamiiForums Tanzania Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja katika jamii yetu kwa wanaume na wanawake

    Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
  9. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Lengo la mchezo wa ngao ya jamii linatekelezwa?

    Kwa kawaida charity show yeyote ni kukusanya hela kwa ajili ya kutoa msaada either wasiojiweza, watoto yatima, elimu au matumizi yeyote ya bure kwa jamii flani. Hivi TFF wanatimiza hili lengo? Au ndio mgeni njoo mwenyeji apone? Twendeni taratibu lakini.
  10. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Kujenga Jamii Inayothamini Usawa na Haki kwa Kila Mmoja

    Usawa wa kijinsia unahusisha kutoa fursa sawa na haki kwa wanawake na wanaume katika maeneo yote ya maisha. Hii inajumuisha fursa sawa za elimu, ajira, afya, uongozi, na ushiriki katika maamuzi. Hata hivyo, bado kuna pengo kubwa la kijinsia katika maeneo mengi duniani, na hili linaweza kuwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Man City Vs Arsenal | Ngao ya Jamii | Wembley Stadium | 06.08.2023

    Leo kuna mchezo mkubwa sana pale England. Ni mchezo wa ngao ya jamii, Man City Vs Arsenal. Man City ni bingwa mtetezi wa EPL pamoja na FA Cup hivyo atakutana na Arsenal aliyeshika nafasi ya pili msimu uliopita. Miaka ya karibuni Arsenal amekuwa kibonde wa Guardiola, watu wanatarajia labda...
  15. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

    Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya. 1. Dada wa kazi. Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule...
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga itafungwa na Azam katika mechi ya ngao ya jamii

    Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo. Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi. Baada ya dakika 90’ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi watahadharishwa upandaji maua kiholela, yaelezwa kuna maua yenye sumu

    Msimamizi wa kituo cha Taifa cha kudhibiti matukio ya Sumu (NPCC) iliyopo katika Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali(GCLA) Yohana Goshashy ametahadharisha jamii kuacha kupanda maua majumbani kiholela badala wake wawaone wataalamu ili aweze kuwaonesha maua ambayo hayana madhara. Wakati wa...
  18. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapemba 7,000 wapewa uraia wa Kenya

    Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba Elfu Saba (7,000) leo hii Jumamosi Wakiishi maeneo ya Kilifii Wapewa National Id, Birth certificates n.k Wamekuwa wakiishi huko kwa miaka 100 na hata baada ya Uhuru Serikali iligoma kuwapa uraia wa nchi hiyo
  19. flaketzofficial

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya mtandao Tanzania: Kukabiliana na mmomonyoko wa maadili kwa jamii hasa watoto kupitia mtandao

    Mtandao umekuwa sehemu muhimu ya Maisha yetu ya kisasa, ukiathiri kila kona ua jamii, elimu, na biashara. Kupitia mtandao , watu wanaweza kuwasiliana, kujifunza, na kufanya kazi kwa njia isiyo ya kawaida. Hata hivyo, Pamoja na furs ana faida zinazotokana na mtandao, pia kumejitokeza changamoto...
  20. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Muafrika hawazi maendeleo kwa Jamii yake, anachowaza ni Kushiba na Uasherati

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Kwa kifupi tusichoshane!. Nimekuwa nikiwasikia watu wengi kama si wote wamekuwa wakiitupia mzigo wa lawama serikali ya kwamba inashindwa kutekeleza mambo muhimu naya msingi huku ikiwaacha wananchi wakitaabika kwa kuwa na maisha magumu,hata kile kidogo wakipatacho...
Back
Top Bottom