itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. Sky Eclat

    ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

    Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini. Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
  2. Analogia Malenga

    Raila Odinga alazwa Nairobi Hospital

    Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya amelazwa Hospitali ya Nairobi kutokana na kuwa na mchoko sana na mwili wake kuwa unamuuma Kaka wa Odinga, Oburu Odinga amesema ndugu yake haijaonesha dalili za magonjwa ya mfumo wa hewa, lakini hadi wameondoka hospitali majibu ya #COVID19 yalikuwa bado...
  3. Nafaka

    Hatimaye Isindigo imeisha rasmi ITV ilikuwa the best soap opera

    Leo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo. Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia. Ni tamthlia ambayo kwangu ilikuwa bora kabisa kuliko tamthilia yoyote niliyowahi kutazama...
  4. Kennedy

    TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari za mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia kwa changamoto ya upumuaji huko Morogoro Hospitali ya Rufaa Mwandishi Vedastus Sungu alikuwa akipatiwa tiba kwenye Hospitali ya SUA, hali yake ilipozidi kuwa tete sana akahamishiwa Hospitali ya Rufaa Morogoro ward number...
  5. J

    DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

    Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi. Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke. Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote...
  6. A

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    Jana wakati nafuatilia taarifa ya habari ITV saa mbili usiku niliona mgogoro ulipo katika kiwanja mojawapo kilichopo Yombo wilaya ya Temeke lakini wakati mwandishi wa habari anatafuta ukweli wa jambo hilo alipojaribu kumpigia simu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ajulikanaye kwa jina la...
  7. Kurunzi

    ITV - Taarifa ya Habari mnatangaza mtafikiri mnakimbizwa

    ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari. Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi...
  8. beth

    Zanzibar wapiga kura ya mapema. Makundi yanayoshiriki ni Watumishi wa ZEC na Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Oktoba 27, 2020)

    Wazanzibari leo wanapiga kura ya mapema ambapo makundi maalum wakiwemo Watumishi wa Tume ya Uchaguzi (ZEC) na Wasimamizi wa Uchaguzi watashiriki katika zoezi hilo. Mwenyekiti wa ZEC, Jaji Hamid Mahmoud Hamid amesema wanaopiga kura leo watatumia Vituo ambavyo wamejiandikisha, kura zao...
  9. MUSIGAJI

    GE2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
  10. mugah di matheo

    U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

    ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini? Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini. Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
  11. M

    GE2020 Kuelekea Oktoba 28, ITV kiongezeeni muda kipindi cha Dakika 45

    Bila maneno mengi, ninaomba ITV wakiongezee muda kipindi cha Dakika 45 kwa kipindi hiki cha uchaguzi angalau kiwe kwa dakika 80. Pia kifanyike hata kwa wiki mara tatu. ITV niwasikivu na weledi katika habari nadhani wataona na watafanya maboresho kwenye muda.
  12. hayaland

    GE2020 Hongera sana ITV kwa kurusha habari kwa usawa kwa vyama vyote

    Nimekuwa nikifatilia habari mbalimbali hususani habari za UCHAGUZI KUU NA WAGOMBEA WAKE. nimegundua ni ITV pekee wanaorusha habari sahihi zisizo elemea upande wowote ule(sijui azam).ukikosa habari ya itv inakulazimu kutumia mitandao ya kijamii kupata habari zenye uhakikia zaidi.Baadhi ya vituo...
  13. Erythrocyte

    GE2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

    Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila Mkumbo wiki hii ambaye si kiongozi wa CCM. Tunaamini atakayefuatia wiki ijayo ni Boniface Jacob wa CHADEMA.
  14. B

    GE2020 Kampeni hata zikisimama mbona somo limekwisha eleweka?

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni. Sikia mambo hapa kwa ufupi, mwelekeo mzima ndivyo hivyo ulivyo kuwa: Bila ya mapendeleo huyu bwana anauelewa kuliko hata...
  15. Civilian Coin

    Tarehe Kama ya leo september19, 2013 Don Nalimison alikuwa ITV

    TBT: Alhamis ya September 19, 2013 DON NALIMISON alishiriki kipindi Cha MALUMBANO YA HOJA katika kituo Cha ITV,Dar es salaam.
  16. Makala josee

    GE2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  17. Nyani Ngabu

    GE2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

    Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli? Sasa hivi yupo ITV. === Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali. Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu...
  18. Subira the princess

    GE2020 Hongera sana ITV kukataa kutumika kipindi hiki kuelekea yeriko

    Wasalaam, Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada. Ova...
  19. M

    GE2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

    Kila siku ipitayo kwa Mungu historia mpya ya nchi hii inaandikwa. Historia hii ina jambo la kijifunza ili kusaidia kujenga taifa kutokana na experience inayopata. Napenda kuchukua nafasi hii kama Mtanzania kuwasifu na kuwashukuru ITV kwa kutuandalia mahojiano muhimu sana na mazuri sana ya Mh...
Back
Top Bottom