ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.
Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi.
Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa malalamiko yao kuwa TASAC ameamua kuwa wakala lakini akaweka sheria kuwa yeye hatakuwa na LIABILITY kutoka...
leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi.
Prof. Ibrahim Juma...
Wanabodi,
Ukiwa ni mfuatiliaji wa series fulani kwenye TV fulani au tamthilia mbalimbali, Series hizo na tamthilia hizo zina urahibu fulani, hivyo wakati wa tamthilia hiyo ukifika, wapenzi wa tamthilia hizo, huacha kila kitu ili kufuatilia tamthilia hizo.
Sasa kunapotokea matukio ya kitaifa...
Hello wakuu, nimekuwa ni mfuatiliaji wa hiki kipindi mara nipatapo nafasi. Kimekuwa kinahoji watu wa kada mbalimbali mfano Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu nk.
Shida ni kuwa kipindi hakina ladha kabisa wala mshawasha wowote wale ndugu zetu wa habari kuna kosa gani la kiufundi pale?
Yaani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam.
=====
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA UFUPI...
Vyombo vya habari vina nguvu sana katika jamii. Vinaweza kuelimisha na kupotosha. Kwa msingi huu, vyombo vya habari vinatakiwa kuwa makini pale wanapoelimisha jamii.
Hapa nilipo naangalia kipindi cha watoto cha ITV. Katika eneo la watoto kujifunza mafumbo, kuna mtoto ametoa fumbo "Mama yake...
Wanabodi,
Mimi ni mshabiki wa tamthilia za ITV Tangu imeanzishwa, walianza na "Egoli" Place of Gold, ndipo wakaja na "Isidingo" The Needy.
Kitu ambacho ITV imejijengea heshima kubwa, ni ile concistance yake, Isidingo ni saa 1:30 usiku. Kwa vile naipenda sana tamthilia ya Isidingo and I can't...
Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.