ITV Kuweka kipini cha "MUBASHARA" kwa tukio la nyuma la JPM hamwoni kama mnazua taharuki kwa umma?

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,820
2,755
Moyo wangu umeruka mapigo saba ya moyo baada ya itv leo asubuhi kuweka kipini cha "mubashara" kwa tukio la zamani la JPM kuweka jiwe la msingi la ujenzi w uwanja ndege mkoani Mtwara!

Ni mazoea?
N kupatiwa?

Ebu Ongezeni umakini katika kazi yenu!
 
chief_
tuache masikhara,magufuli alikuwa anatisha!
influence yake haitokwisha kirahisi aisee!
ukitaka kuamini hofu aliyowapindikiza watanzania,angalia yale mabango yake ya kampeni,mpaka leo Tanzania mpya yapo intact,hakuna mwenye jeuri ya kuyagusa!
noma aiseee!
Picha zake ofisini tumeshatoa tunaweka za mama.mabango tunatoa yote katili yule hitler
 
Back
Top Bottom