ITV - Taarifa ya Habari mnatangaza mtafikiri mnakimbizwa

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,285
9,920
ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari.

Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri

Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi wanahitaji kuboresha taarifa zao hasa kwa maripoter wa mikoani, maripoter wao wanatangaza utafikiri wanakimbizwa as business as usual habari unakuta hata source ya hiyo taarifa haipati muda wa kutoa maelezo ya kutosheleza, pia habari haichambuliwi kwa kina hapa wajifunze kwa Star TV wako vizuri.

Kwa upande wa taarifa za kimataifa dah ni bure kabisa taarifa inapewa sekunde 20 ukifika hapo nsbadilusha Chanel naenda star tv.

Michezo nako hivyo hivyo.

Naomba mjirekebishe.
 
Mkuu kumbe na ww umeliona hilo, aliyepo studio anasoma mistari miwili utasikia muandishi wetu ana ripoti kamaili saza akija huyo muandishi nae anavyopuyanga dah! Taarifa ya habari ya hovyo kabisa ile
 
Kweli baha Haswa Benjamini na ule slemuna Midle khaaaa naona wanapiga BBC
 
Kwel za kimataifa na michezo ni bora startv,ila baada ya uchaguzi huu nmeona nisiangalie Haya matv kabisa,ITV wanatangaza Bob wine kukamatwa Uganda lakini hapa tz Kuna mambo kibao kama hayo hawatangazi,
 
Kwel za kimataifa na michezo ni bora startv,ila baada ya uchaguzi huu nmeona nisiangalie Haya matv kabisa,ITV wanatangaza Bob wine kukamatwa Uganda lakini hapa tz Kuna mambo kibao kama hayo hawatangazi,
Mazrui ana mwezi hajulikani yupo wapi. Jusa kachakazwa mbaya,ila hutasikia wakigusia kabisa.
 
Kitu kingine mkuu siku hizi katika habari zao matangazo yamekua mengi sana mpaka taarifa haipendezi,,,
 
Uko sahihi, Reginald Machache ni kama ameondoka na ITV yake.... Mimi siku hizi naangalia Azam, angalau kidogo....
 
Uko sahihi, Reginald Machache ni kama ameondoka na ITV yake.... Mimi siku hizi naangalia Azam, angalau kidogo....
Kipindi cha Reginald Machache ilikuwa angalau afadhali kidogo. Sasa ivi ni uwoga mtupu
 
Binafsi kutazama habari za ndani nimesitisha hadi 2025....labda kama kuna tukio nyeti sana!..nitaendelea kufuatilia habari za michezo tu
 
Habari michezo kimataifa wanakera. badala ya kuonesha motion pictures wao wanaonesha mgando tu. Mfan kama mechi imechezwa hawaoneshi magoli yalofungwa

Rubish hawa
 
Back
Top Bottom